Uchaguzi 2020 Nikikumbuka janga la Corona, Watanzania tusipomchagua Dkt. Magufuli bila shaka Mungu atatushughulikia kivingine

MEXICANA

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
1,777
Reaction score
2,040
Kumbuka.

"Man without God can not, and God without man will not"

"Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe"

Kama kuna nyakati Mungu alishawahi kuzungumuza na watanzania kwa namna isiyoyakawaida kupitia kiongozi wa kitaifa naamini Mara hii amezungumza na tz nakila mtu bila shaka hakuna ambaye hakumwelewa labda tu kwa wale wanaopinga kila mtu.

Ukijaribu tu kufikiria kama bwana yule angekuwa ndiyo yeye mkuu wa nchi sjui tungekuwa vipi Leo na janga hilo.

Ifike mahali tujue kuwa kuna watu wanakuja kwa wakati na majira sahihi tuwaache watimize makusudi ya Mungu aliyowawekea mioyoni mwao.

Nakumbuka Yesu aliulizwa swali fulani akajibu "Kwa ajili ya haya nalikuja"

Tufike mahala tukubali kuwa kuna watu huja kwa specific issue
 
Kumbuka.
"Man without God can not,and God without man will not"

Kwa akili hizi za Watanzania tutaendelea kuwepo mkiani ktk Nchi maskini siku zote kwanza tungeanza kuupiga vita umaskini wa mawazo Kama huu uliooneshwa hapa

Sent from my TECNO KD7h using JamiiForums mobile app
 
Kumbuka.
"Man without God can not,and God without man will not"

"Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe"

Kama kuna nyakati Mungu alishawahi kuzungumuza na watanzania kwa namna isiyoyakawaida kupitia kiongozi wa kitaifa naamini Mara hii amezungumza na tz nakila mtu bila shaka hakuna ambaye hakumwelewa labda tu kwa wale wanaopinga kila mtu.
Ukijaribu tu kufikiria kama bwana yule angekuwa ndiyo yeye mkuu wa nchi sjui tungekuwa vipi Leo na janga hilo.

Ifike mahali tujue kuwa kuna watu wanakuja kwa wakati na majira sahihi tuwaache watimize makusudi ya Mungu aliyowawekea mioyoni mwao.

Nakumbuka Yesu aliulizwa swali fulani akajibu
"Kwa ajili ya haya nalikuja"
Tufike mahala tukubali kuwa kuna watu huja kwa specific issue
Na unadhani Mungu atatufanya nini ukikumbuka Janga la kushambiliwa Tundu Lissu kwa risasi nyingi, akapona kimiujiza ujiza, akafukuzwa bungeni, akatishiwa akirudi nchini atadakwa, lakini akarudi. Akaanza mchakato wa kuomba kuteuliwa kugombea wakajiandaa kumzima lakini akapenya.

Akaanza kampeni, vyombo vya habari vimezuia kumtangaza, mabango yake ya kampeni yamezuiwa nchi nzima lakini watu wanapata taarifa zake kimiujiza na kujaa kwenye mikutano yake.

Akazuiwa kutumia Chopa lakini ndiyo ikawa imemsaidia zaidi.
Msajili wa Vyama, Tume, NEC na Polisi wote wameungana na kuibua madai yao ili kumkwamisha lakini wote wamekutana na stahiki zao na ujinga wao umewarudia.

Mgombea wetu CCM ana support kubwa ya Chama, Matangazo yake nchi nzima, serikali, NEC, Msajili, Majeshi, Vyombo vya habari, Pesa lakini Upande wa Pili anaonekans yupo Lissu na Jina lake na hoja zake tu.

Mpaka hapo unadhani Mungu yupo upande gani?
 
Kumbuka.
"Man without God can not,and God without man will not"

"Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe"

Kama kuna nyakati Mungu alishawahi kuzungumuza na watanzania kwa namna isiyoyakawaida kupitia kiongozi wa kitaifa naamini Mara hii amezungumza na tz nakila mtu bila shaka hakuna ambaye hakumwelewa labda tu kwa wale wanaopinga kila mtu.

Ukijaribu tu kufikiria kama bwana yule angekuwa ndiyo yeye mkuu wa nchi sjui tungekuwa vipi Leo na janga hilo.

Ifike mahali tujue kuwa kuna watu wanakuja kwa wakati na majira sahihi tuwaache watimize makusudi ya Mungu aliyowawekea mioyoni mwao.

Nakumbuka Yesu aliulizwa swali fulani akajibu "Kwa ajili ya haya nalikuja"

Tufike mahala tukubali kuwa kuna watu huja kwa specific issue
The conduct of the upcoming elections in Tanzania has important consequences not only for Tanzania, but for the entire East African region. Tanzania’s history of peaceful multi-party elections stretching back 25 years has made it a model on the continent.

The United States government reaffirms unequivocally that it does not support any specific candidate or party in Tanzania’s upcoming elections. The United States supports the democratic process itself. We support a genuinely free, fair, transparent, and peaceful electoral process, before, during, and after election day. This includes ensuring the safety of all contestants, respect for the rule of law, and the absolute impartiality of the authorities in charge of managing the elections.

The United States, along with other democratic nations, will be paying close attention to actions of individuals who interfere in the democratic process or instigate violence against the civilian population before, during, or after the elections. We will not hesitate to consider consequences for those found to be responsible for election-related violence or undermining the democratic process.

We welcome the calls by the leading candidates for a peaceful and transparent electoral process, and we urge them and their supporters to take measures to decrease tensions and avoid inciteful rhetoric.

By U.S. Embassy Dar es Salaam | 1 October, 2020 | Topics: Press Releases
 
Hakuna tofauti ya corona kati ya Tanzania na nchi nyingine yoyote ya Africa, maambukizi yapo kote ila tu sisi tumeamua kutohesabu wagonjwa kwa kiburi cha mtu fulani.
 
Bora corona kuliko magufuli
 
Atuambie ile dawa ga Madagascar ilinunuliwa sh ngapi na kina nani walipewa. Matokeo ya utafiti wake kama alivyosema Kalamagamba Kabugi yako wapi?
 
Kumbuka.

"Man without God can not, and God without man will not"

"Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe"

Kama kuna nyakati Mungu alishawahi kuzungumuza na watanzania kwa namna isiyoyakawaida kupitia kiongozi wa kitaifa naamini Mara hii amezungumza na tz nakila mtu bila shaka hakuna ambaye hakumwelewa labda tu kwa wale wanaopinga kila mtu.

Ukijaribu tu kufikiria kama bwana yule angekuwa ndiyo yeye mkuu wa nchi sjui tungekuwa vipi Leo na janga hilo.

Ifike mahali tujue kuwa kuna watu wanakuja kwa wakati na majira sahihi tuwaache watimize makusudi ya Mungu aliyowawekea mioyoni mwao.

Nakumbuka Yesu aliulizwa swali fulani akajibu "Kwa ajili ya haya nalikuja"

Tufike mahala tukubali kuwa kuna watu huja kwa specific issue
Nonsense [emoji706][emoji706]
 
Hakuna tofauti ya corona kati ya Tanzania na nchi nyingine yoyote ya Africa, maambukizi yapo kote ila tu sisi tumeamua kutohesabu wagonjwa kwa kiburi cha mtu fulani.
The conduct of the upcoming elections in Tanzania has important consequences not only for Tanzania, but for the entire East African region. Tanzania’s history of peaceful multi-party elections stretching back 25 years has made it a model on the continent.

The United States government reaffirms unequivocally that it does not support any specific candidate or party in Tanzania’s upcoming elections. The United States supports the democratic process itself. We support a genuinely free, fair, transparent, and peaceful electoral process, before, during, and after election day. This includes ensuring the safety of all contestants, respect for the rule of law, and the absolute impartiality of the authorities in charge of managing the elections.

The United States, along with other democratic nations, will be paying close attention to actions of individuals who interfere in the democratic process or instigate violence against the civilian population before, during, or after the elections. We will not hesitate to consider consequences for those found to be responsible for election-related violence or undermining the democratic process.

We welcome the calls by the leading candidates for a peaceful and transparent electoral process, and we urge them and their supporters to take measures to decrease tensions and avoid inciteful rhetoric.

By U.S. Embassy Dar es Salaam | 1 October, 2020 | Topics: Press Releases
 
Hakuna tofauti ya corona kati ya Tanzania na nchi nyingine yoyote ya Africa, maambukizi yapo kote ila tu sisi tumeamua kutohesabu wagonjwa kwa kiburi cha mtu fulani.
Spiritual dimensions never be compared with non-sensesical physical dimensions.
Cdm mlisema tujifungie ndani kwa kuwaiga hao jamaa zenu wanao exercise ushoga,baadae yakawashinda hata aibu hamna
 
Hatuchagui Rais wa Corona hapa!Kumbuka wakati akicheza gumble ya maisha ya watu,yeye alikuwa amekimbia ikulu na kwenda kujificha Chato huku akisubiri kuona matokeo ya kubet kwake!
 
Back
Top Bottom