Uchaguzi 2020 Nikikumbuka janga la Corona, Watanzania tusipomchagua Dkt. Magufuli bila shaka Mungu atatushughulikia kivingine

Kiongozi gani anyejibu hoja kwa mtutu. Kaua, kateka, kababikiza wate kesi, kaumiza na kujeruhi watu, kafisadi kodi zetu kwa miradi ya kifisadi inayomnufaisha yeye na wapambe wake
 
Miungu ya Gamboshi ishapitwa na wakati
 
FREEDOM IS EVERYTHING
 
Magufuli kwa kupitia watu wasio julikana Ameua watanzania wengi kuliko corona
Kwahiyo unamaanisha corona ni kaugonjwa kadogo tu na hivyo misimamo ya Magufuli ilikuwa sahihi kuhusu corona?
 
Mexicana Mungu hana fungamano lolote na wanadamu, sisi ni kama viumbe wingine juu ya hii ardhi. Tofauti yetu ni kuna viumbe wema na waovu. Wema wengi huteseka lakini waovu wengi hudhalilika. Tunahitaji kiongozi wa nchi mwenye kujali wananchi wake, Magufuli kafanya mazuri nchini, lakini kuna mahali alikosea ndiyo maana uchaguzi huu ni mgumu si kwa CCM bali kwa mwenyekiti wa chama. Wahenga wanasema linapoadimika jema basi baya huwa jema.
 
HIVI NANI ANAPASWA KUSHUHUDIA UKUU WA MUNGU KATI YA ALIYE SIMAMA NA KUSEMA KORONA HAIPO TZ NA YULE ALIYE HUISHWA KUTOKA UMAUTI WA KUPIGWA RISASI 16.....
 
HIVI NANI ANAPASWA KUSHUHUDIA UKUU WA MUNGU KATI YA ALIYE SIMAMA NA KUSEMA KORONA HAIPO TZ NA YULE ALIYE HUISHWA KUTOKA UMAUTI WA KUPIGWA RISASI 16.....
Hata majambazi huwa yananusirika kufa,Mungu hapendi mwenye dhambi afe bali wote waifikilie toba
 
Hii ndio kauli wanayotakiwa kukumbushwa wagombea wato wa Uraisi
 
Nenda zako kuzimu na miungu watu wako.
 
Kumnyima kura JPM uchaguzi huu ni kujitafutia laana. Siko tayari kumkufuru muumba wangu
 
mkuu amemalizaje corona? mara ya mwisho takwimu kutolewa ilikuwa mwezi wa nne sasa tupe ushahidi wa kusema corona hakuna
 
Kama alikuja kwa hiyo specific issue si imeshaisha? Basi kamaliza kazi yake.
 
Kufuru ya Magufuli Kwa Mungu,
it reminds me of “The God must be crazy”
 
Acha upumbavu Mungu atakuadhibu wewe uaminie katika mtu, Pombe huyu ambae watu wanatekwa na kuuliwa huku yuko kimywa,mtu anae waambia watu wa Kagera yeye hajaleta mafuriko kwa hiyo hatoi msaada wowote huyu mwenye ubaguzi wa hali ya juu ya kupeleka maendeleo kwa upendeleo wa chama chake ndio umwaminie kweli kazi ipo.

Tanzania haijakumbwa na Covid 19 kwa kuwa Watanzania wengi kipindi kile hawajasafiri na waliokuwa nje ya nchi walikuwa wachache sana na walizuiwa kutoka kule walipo na serikali za nchi husika kutokana na kufunga mipaka na kusitisha usafiri wa ndege pia hali ya hewa Tanzania sehemu nyingi ni za joto so Virus vya Covid 19 sio rahisi kuishi na sio Pombe ati Mungu alimsikia acha acha upuuzi huu.
 
Wote wanakuja kwa jina Mungu

Mmoja yeye ndo kaponyesha Corona


Mwingine Ameokolewa na Mungu kutoka katika Kifo na risasi 16.


Hata ungekua wee ungemchagua nani??


Mimi kura yangu kwa Lissu.


Magufuli kama anajifanya ndio kaponyeshe Corona, basi aponyeshe Ngoma, Kansa , Kisukari n.k
 
Tumeshughukikiwa kwa miaka 5 ya Magufuli, aliyekuwemo na asiyekuwemo wote tunaonja shubiri ya awamu hii. Jamani sijuwi tuseme kwa lugha gani mpate kuelewa, MAGUFULI HATUFAI!!
Hebu nikuulize kidogo, hivi unaamini kabisa kuwa hatuwezi kujenga SGR bila kutekana???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…