Uchaguzi 2020 Nikikumbuka janga la Corona, Watanzania tusipomchagua Dkt. Magufuli bila shaka Mungu atatushughulikia kivingine

Corona iliingia Tanzania na ipo,haijaondoka imetulia ili kuwawezesha watanzania kumuondoa au kuiondoa serikali ya MABEPARI aka magombe.
(CCM=Chama Cha Mapepari)
 
This is a comedy.... Tanzania ni taifa teule and the whole world failed to get that. πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
That's a reminder for those who do not understand what a free and fair election means.
 
Corona haipo Tanzania.

Ona huyu mzalendo anavyomshangaa mbeba ajenda za mabeberu
View attachment 1594117
Upumbavu ni mzigo, hebu niambie nani ni beberu, na ambae serikali hii ya kidikteta haishirikiani nayo? Primary school enzi za 70s ndio tulikuwa tunaambiwa habari za Kibanga kampiga mkoloni, Leo kuna majuha mnakaririshwa na mnataka kutuingizia upumbavu wenu? Shame!!
 
Mungu na usangoma wapi na wapi ?
Mawazo mfu, so deadly dumb !!
 
Uvccm bhana
 

Kwamba?

"Kama kuna nyakati Mungu alishawahi kuzungumuza na watanzania kwa namna isiyoyakawaida kupitia kiongozi wa kitaifa naamini Mara hii amezungumza na tz nakila mtu bila shaka hakuna ambaye hakumwelewa labda tu kwa wale wanaopinga kila mtu."

Ukisikia wazimu, kama siyo huu basi haupo.

Hiiiiii bagosha!
 
Naon Naona unatukumbusha upumbavu!
 
Naon
Naona unatukumbusha upumbavu!

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!

Mleta mada bwana MEXICANA:



kumbe mida ya 0451 alikuwa naye aki zoom na kujisemea "hiiiiii!"

Haiyumkiniki atakuwa amekusoma pia.
 
What happened at the end
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…