kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Mimi nimemchangia na leo naongeza mchango zaidi ili kijana akapambanie haki yake huko CASKi ukweli fei katuangusha sisi mashabiki wake kwa kile alichoongea leo kaharibu kila kitu. Ni bora angenyamaza. Nikikumbuka nilimchangia nikijua kweli kaonewa halafu nikiikumbuka interview yake ya leo machozi yananitoka
Kama shabiki wa simba fei kaniangusha sana
Mamilion atabaki nayo na tutaendelea kumchangia tena na tena ili aende CAS kuitafuta haki yake.Mliomchangia ni matahira
Mnachezewa drama mnashindwa kung'amua.
Yale mamilioni aliyopewa awali alipe Yanga nusu yake tu yangetosha kukata rufani
Ki ukweli fei katuangusha sisi mashabiki wake kwa kile alichoongea leo kaharibu kila kitu. Ni bora angenyamaza. Nikikumbuka nilimchangia nikijua kweli kaonewa halafu nikiikumbuka interview yake ya leo machozi yananitoka
Kama shabiki wa simba fei kaniangusha sana
Hakuwavuruga yanga maana siku zote hujitokeza ila yanga wanashindaWiki iliyopita alitoka akawavuruga mkala 2 wiki hii tena karudi lzm mbutuliwe tena 3+
AiseeMamilion atabaki nayo na tutaendelea kumchangia tena na tena ili aende CAS kuitafuta haki yake.
Lowassa apewe maua yakeMkataba ni wa miaka 2 nashangaa naambiwa mkataba ni wa miaka 3.
Waliniambiamkataba ni million 100 tena nalipwa kwa mkupuo nashangaa naambiwa nitalipwa kwa mafungu
Elimu ni muhimu sana
Fei alikuwa pale kueleza hali halisi ilivyo na wala sio kujitetea maana utetezi wowote wa pale Clouds hauwezi msaidia chochote kwenye kesi yake ambayo ameipeleka CASKama mwanasimba na mwanamichezo sikutegemea utetezi ule matuangusha wanalunyasi