Nikikumbuka nilimchangia Fei najikuta nasikitika sana

Nikikumbuka nilimchangia Fei najikuta nasikitika sana

kilwakivinje

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
6,184
Reaction score
9,407
Ki ukweli Fei katuangusha sisi mashabiki wake kwa kile alichoongea leo kaharibu kila kitu. Ni bora angenyamaza. Nikikumbuka nilimchangia nikijua kweli kaonewa halafu nikiikumbuka interview yake ya leo machozi yananitoka

Kama shabiki wa simba fei kaniangusha sana
 
Ki ukweli fei katuangusha sisi mashabiki wake kwa kile alichoongea leo kaharibu kila kitu. Ni bora angenyamaza. Nikikumbuka nilimchangia nikijua kweli kaonewa halafu nikiikumbuka interview yake ya leo machozi yananitoka

Kama shabiki wa simba fei kaniangusha sana
Mimi nimemchangia na leo naongeza mchango zaidi ili kijana akapambanie haki yake huko CAS
 
Mkataba ni wa miaka 2 nashangaa naambiwa mkataba ni wa miaka 3.
Waliniambiamkataba ni million 100 tena nalipwa kwa mkupuo nashangaa naambiwa nitalipwa kwa mafungu

Elimu ni muhimu sana
 
Baada ya kumsikiliza leo imebidi nimchangie aisee kijana anapambania uhuru wake na yupo na msimamo thabiti

Mwanaume msimamo
 
Kama mwanasimba na mwanamichezo sikutegemea utetezi ule matuangusha wanalunyasi
Fei alikuwa pale kueleza hali halisi ilivyo na wala sio kujitetea maana utetezi wowote wa pale Clouds hauwezi msaidia chochote kwenye kesi yake ambayo ameipeleka CAS
Na kwakuwa alikuwa anaeleza hali halisi badala ya kujitetea Fei alikuwa huru kuzungumzia pia mapungufu yake na pia kueleza baadhi ya Mema ya klabu yake hiyo ya zamani kitu ambacho sio kibaya katika kuwaeleza watu hali uliyopitia
 
Back
Top Bottom