Nikikumbuka safari yangu ya Mbinga to Dodoma huwa najiona mjinga sana

Nikikumbuka safari yangu ya Mbinga to Dodoma huwa najiona mjinga sana

Dogoli kinyamkela

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2024
Posts
2,858
Reaction score
5,123
LEO TUTOKE KWENYE NDUMBA NA VIMBOLA, NGOJA TUPIGE STORY WAKATI NIPO YANKII.

Nyieeh ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ™ˆ yaani nikikumbuka safari yangu ya Mbinga to Dodoma huwa najiona mjinga sana.

Basi nakumbuka ilikuwa mwaka 2021 natoka zangu Mozambique sehemu moja inaitwa (0D), waliofika huko wanaijua ni machimboni. Nilisafiri na pikipiki hadi Mbinga, nilifika jioni nikachukua usafiri kuelekea Songea. Nilifika usiku nikakata tiketi bus la Super Feo, kisha nikachukua lodge nikalala.

Asubuhi naelekea zangu stendi kuanza safari kuelekea Dodoma. Bus ikaanza safari, nakumbuka nilikaa na jamaa mmoja. Tulifika sehemu wanauza viazi mviringo, sipakumbuki jina, bus ikasimama watu wakawa wananunua viazi kisha tukaendelea na safari.

Kabla hatujafika Njombe gari ikaanza kufuka moshi mweusi, watu wakaanza kuruka dirisha hadi dereva anasimamisha gari. Watu waliobaki kwenye gari ni wachache. Safari na bus hilo ikawa imeishia hapo. Likaja bus jingine, watu wakafaulishwa waendao Njombe, Makambako na Iringa. Wale waendao Dodoma ilibidi tusubiri bus nyingine ya Super Feo itoke Songea.

Kwa kweli tulikaa takribani masaa manne ndipo gari ikafika. Tulikuwa kama abiria 20 hivi, tukaambiwa tukae siti zilizo wazi. Si unajua tena watu kuwahiana siti, nikawa wa mwisho kupanda nikakuta kuna siti moja imebaki ila upande wa dirisha. Kwenye nyingine alikaa mdada amejifunika gubigubi na shuka la Kimasai.

Nikafika nikamwambia asogee dirishani au mimi nipite. Basi akajifunua shuka, kumcheki hivi mamaa... yaani dem ana weusi fulani hivi, lips zake tu ๐Ÿ˜‹. Nikajisemea leo ni leo ๐Ÿ™ˆ. Akasema nipite dirishani.

Bus ilitembea mpaka Mafinga. Tukapita hotelini watu wakala, me sikula na huyo dada hakula. Nilichukua biskuti ya chocolate na maji. Safari ikaanza, nikamenya biskuti yangu na kuna pic mbili, moja nikampa yule dada akagoma kuchukua. Nikajisemea fresh.

Tulifika Iringa kwenye saa 1 hivi, giza linaingia. Tulipoanza safari ya kutoka Iringa jamaa mmoja akawa anauza ndizi na kuku elfu sita, nikanunua. Basi nikamwambia yule jamaa muuzaji ampatie yule dem kuku. Alipopewa akapokea ๐Ÿ˜, chezea njaa wewe.

Basi tukala, baada ya hapo na maongezi yakaanza. Akawa mara anaongea na simu sana kuhusu kinachompeleka huko. Baadaye namuuliza unaenda kufanya nini, akasema naenda kufanya interview ya kazi fulani.

Basi story zilinoga, mara aniegemee asinzie. Mimi sasa naona mnyama wa jicho moja anaanza kuamka ๐Ÿคธ๐Ÿ™ˆ. Basi nikatupia nyavu zangu kwa manzi, anaanza kuzingua mara ooh hawez, mara ooh anamchumba hawez kumchit ๐Ÿ˜œ. Basi nikasema barida.

Tulifika Dodoma saa nne kuelekea saa tano. Tukashuka pale CBE, nikamwambia twende tupate juice. Tukaenda, kufika pale kuna nyama choma, chips, maini ooh sangapi, sijaangiza mazagazaga, tukaanza kula.

Basi tukabadilishana namba, nikamwambia twende tukalale, akagoma. Nikamwacha nikaenda lodge moja inaitwa Seven Lodge. Nikakuta chumba kimoja kimebaki, nikaoga nikawa nimelala huku naangalia TV.

Mara simu ikapop meseji. Kucheki ni yule manzi anasema interview itakuwa Dar, kwa hiyo asubuhi apande magari ya kwenda Dar. Tiketi wamemkatia, kwa hiyo itabidi alale stendi au gest kama ana hela.

Basi nikamwambia njoo tulale. Akasema hawezi maana nitataka mapenzi wakati yeye hataki. Basi nikamwambia siwezi kufanya hivyo bila ridhaa yake.

Oky, dakika tano akapiga simu nimuelekeze boda kwenye hiyo gest. Boda akafika nje, mdada nikamuelekeza chumba. Akaja, alipofika akaweka begi lake na mkoba, akaingia toilet. Me nikafunga mlango na funguo nikaweka kwenye begi lake.

Baada ya hapo akalala na suruali. Nikasema barida. Nikacheki muvi fulani hivi, nikalala sikutaka kumsumbua tena. Sasa nashangaa dem anajigeuzageuza tu halali ๐Ÿ˜๐Ÿคฃ.

Nikapitiwa na usingizi. Niliweka alam ya saa kumi na moja kamili ikawa inalia. Kushituka hivi dada wa watu kanikumbatia, halafu kashika mnyama wa jicho moja ***** ๐Ÿ˜๐Ÿ˜œ๐Ÿคธ. Sijui kavua saa ngapi suruali, yuko chupi tu. Me nililala na bukta tu. Wewe kumgusa hivi kwenye kitumbua, mamaaa ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜‹ namna gani mambo haya.

๐Ÿ™ˆ Mtoto kalowana hadi sio poa, akasema, "Kaka siwezi kuvumilia, nisamehe tu."

Moyoni nikasema tripu mchanga, tripu kokoto, mbwa kala mbwa. Qmamรฆ kilichotokea sasa ๐Ÿ˜œ... sema nimechoka kuandika, labda nitume ujumbe wa sauti. ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿคธ๐Ÿค”๐Ÿ˜
 
LEO TUTOKE KWENYE NDUMBA NA VIMBOLA NGOJA TUPIGE STORY WAKAT NIPO YANKII.

Nyieeh ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ™ˆ yaani nikikumbuka safari yangu ya mbinga to Dodoma huwa najiona mjinga sana, basi nakumbuka ilikuwa mwaka 2021 natoka zangu Mozambique sehem moja inaitwa (0D) waliofika huko wanaijua ni machimboni, nilisafiri na pikipiki hadi mbinga nilifika jioni nikachukua usafiri kuelekea songea, nilifika usiku nikakata tiketi bus la super feo, kisha nikachukua lodge nikalala asubuhi naelekea zangu sitend kuanza safari kuelekea Dodoma bus ikaanza safari nakumbuka nilikaa na jamaa mmoja, tulifika sehem wanauza viazi mviringo sipakumbuki jina bus ikasimama watu wakawa wananunua viazi kisha tukaendelea na safari, kabla hatujafika njombe gari ikaanza kufuka moshi mweusi watu wakanza kuruka dirisha hadi dereva anasimamisha gari watu waliobaki kwenye gari ni wachache, safari na bus hilo ikawa imeishia hapo likaja bus jingine watu wakafaulishwa waendao njombe,makambako na iringa, wale waendao Dodoma ilibidi tusubiri bus nyingine ya super feo itoke songea kwa kweli tulikaa takribani masaa manne ndio gari ikafika tulikuwa kama abiria 20 hivi tukaambiwa tukae siti zilizo wazi si unajua tena watu kuwahiana siti nikawa wa mwisho kupanda nikakuta kuna siti moja imebaki ila upande wa dirisha kwenye nyingine alikaa mdada amejifunika gubigubi na shuka la kimasai nikafika nikamwambia asogee dirishani au mimi nipite basi akajifunua shuka kumcheki ivi mamaa yaani dem ana weusi fulani ivi lips zake tu ๐Ÿ˜‹ nikajisemea leo ni leo ๐Ÿ™ˆ akasema nipite dirishan bus ilitembea mpaka mafinga tukapita hotelin watu wakala me sikula na huyo dada hakula nilichukua biskuti ya chocolate na maji safari ikaanza nikamenya biskuti yangu na kuna pic mbili moja nikampa yule dada akagoma kuchukua nikajisemea fresh tulifika iringa kwenye saa 1 hivi giza linaingia tulipoanza safari ya kutoka iringa jamaa mmoja akawa anauza ndizi na kuku elfu sita nikanunua basi nikamwambia yule jamaa muuzaji ampatie yule dem kuku alipopewa akapokea๐Ÿ˜ chezea njaa wew basi tukala baada ya hapo na maongezi yakaanza akawa mara anaongea na sim sana kuusu kinachompeleka uko baadaye namuuliza unaenda kufanya nn akasema naenda kufanya interview ya kaz fulani, basi story zilinoga mara aniegemee asinzie, mimi sasa naona mnyama wa jicho moja anaanza kuamka ๐Ÿคธ๐Ÿ™ˆ basi nikatupia nyavu zangu kwa manzi anaanza kuzingua mara ooh hawez mara ooh anamchumba hawez kumchit๐Ÿ˜œ basi nikasema barida tulifika Dodoma saa nne kuelekea saa tano, tukashuka pale CBE nikamwambia twende tupate Juice tukaenda kufika bale kuna nyama choma,chips, maini ooh sangapi sjaangiza mazagazaga tukaanza kula basi tukabadilishana namba nikamwambia twende tukalale akagoma nikamwacha nikaenda lodge moja inaitwa Seven lodge nikakuta chumba kimoja kimebaki nikaoga nikawa nimelala huku naangalia tv mara sim ya ikapop meseji kucheki ni yule manzi anasema interview itakuwa dar kwa hiyo asubuhi apande magari ya kwenda dar tiketi wamemkatia kwa hiyo itabidi alale stend au gest kama ana hela basi nikamwambia njoo tulale akasema hawezi maana nitataka mapenzi wakati yeye hataki, basi nikamwambia siwezi kufanya hivyo bila ridhaa yake oky dkk tano akapiga sim nimuelekeze boda kwenye hiyo gest boda akafika nje mdada nikamuelekeza chumba akaja alipofika akaweka beg lake na mkoba akaingia toilet me nikafunga mlango na funguo nikaweka kwenye begi lake, baada ya apo akalala na suluali nikasema barida, nikachek muvi fulani ivi nikalala skutaka kumsumbua tena sasa nashangaa dem anajigeuzageuza tu halali๐Ÿ˜๐Ÿคฃ nikapitiwa na usingizini niliweka alam ya saa kumi na moja kamili ikawa inalia kushituka ivi dada wa watu kanikumbatia halafu kashika mnyama wa jicho moja mamรฆ๐Ÿ˜๐Ÿ˜œ๐Ÿคธ sjui kavua saa ngapi suruali yuko chupi tu me nililala na bukta tu wewe kumgusa hivi kwenye kitumbua mamaaa ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜‹ namna gani mambo haya,๐Ÿ™ˆmtoto kalowana hadi sio poa akasema kaka siwezi kuvumilia nisamehe tu, moyoni nikasema tripu mchanga tripu kokoto mbwa kala mbwa Qmamรฆ kilichotokea sasa๐Ÿ˜œ sema nimechoka kuandika labda nitume ujumbe wa sauti ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿคธ๐Ÿค”๐Ÿ˜
Kwa akili hizi, bado sana kuitoa CCM madarakani.
 
Back
Top Bottom