M Miss_Mariaah JF-Expert Member Joined Nov 9, 2022 Posts 2,176 Reaction score 4,979 Jan 31, 2025 #21 Manfried said: Wamerekani jaribu kutuonea huruma msije mkazuia kutupa Dawa za Ukimwi. Maana hata miaka ya 1990s Dawa zilikuepo but it was too expensive. I lost 8 siblings and two parents . Aisee itakuwa noma Click to expand... Watu waache ngono zembe na uzinzi
Manfried said: Wamerekani jaribu kutuonea huruma msije mkazuia kutupa Dawa za Ukimwi. Maana hata miaka ya 1990s Dawa zilikuepo but it was too expensive. I lost 8 siblings and two parents . Aisee itakuwa noma Click to expand... Watu waache ngono zembe na uzinzi
Dialogist JF-Expert Member Joined Apr 14, 2014 Posts 1,167 Reaction score 1,872 Jan 31, 2025 #22 Black Sniper said: Mbona unanilisha maneno? Wapi nimeandika hivyo? Aisee unajua kubadili maneno Tukiacha hayo mimi sio kijana wa Y2K Click to expand... 😀😀kidding
Black Sniper said: Mbona unanilisha maneno? Wapi nimeandika hivyo? Aisee unajua kubadili maneno Tukiacha hayo mimi sio kijana wa Y2K Click to expand... 😀😀kidding
N nicholasmari JF-Expert Member Joined Dec 28, 2024 Posts 630 Reaction score 583 Jan 31, 2025 #23 Manfried said: Wamerekani jaribu kutuonea huruma msije mkazuia kutupa Dawa za Ukimwi. Maana hata miaka ya 1990s Dawa zilikuepo but it was too expensive. I lost 8 siblings and two parents . Aisee itakuwa noma Click to expand... Mwandikie barua kwa lugha anayoielewa
Manfried said: Wamerekani jaribu kutuonea huruma msije mkazuia kutupa Dawa za Ukimwi. Maana hata miaka ya 1990s Dawa zilikuepo but it was too expensive. I lost 8 siblings and two parents . Aisee itakuwa noma Click to expand... Mwandikie barua kwa lugha anayoielewa
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Jan 31, 2025 #24 Dialogist said: 😀😀kidding Click to expand... I thought you were Serious 😄 🤣
The Worst JF-Expert Member Joined Sep 12, 2021 Posts 6,108 Reaction score 21,140 Jan 31, 2025 #25 Ili watu waache kulalana hovyo maana imekuwa too much,dizain wamekuwa kama ni mbwa wanafanya kubambiana tu mkubwa kwa mdogo mdogo kwa mkubwa.
Ili watu waache kulalana hovyo maana imekuwa too much,dizain wamekuwa kama ni mbwa wanafanya kubambiana tu mkubwa kwa mdogo mdogo kwa mkubwa.
Nomadix JF-Expert Member Joined Jan 5, 2025 Posts 2,411 Reaction score 6,646 Jan 31, 2025 #26 Bolotoba said: Dalili za anaemia ni zipi Click to expand... Kuchoka sana hata kusimama huwezi Kuwa na macho ya manjano na mikono pia Kuhisi kizunguzungu Kutapika manjano/nyongo hizo ndio huwa zinatokea
Bolotoba said: Dalili za anaemia ni zipi Click to expand... Kuchoka sana hata kusimama huwezi Kuwa na macho ya manjano na mikono pia Kuhisi kizunguzungu Kutapika manjano/nyongo hizo ndio huwa zinatokea
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Jan 31, 2025 #27 Pole sana mkuu