Nikikumbuka UKIMWI ilivyochukua ndugu zangu kumi wote na familia ikamkosa Mama na Baba, nakuomba Trump tusamehe kwa hili

Nikikumbuka UKIMWI ilivyochukua ndugu zangu kumi wote na familia ikamkosa Mama na Baba, nakuomba Trump tusamehe kwa hili

Wamerekani jaribu kutuonea huruma msije mkazuia kutupa Dawa za Ukimwi.

Maana hata miaka ya 1990s Dawa zilikuepo but it was too expensive.

I lost 8 siblings and two parents .

Aisee itakuwa noma
Watu waache ngono zembe na uzinzi
 
Wamerekani jaribu kutuonea huruma msije mkazuia kutupa Dawa za Ukimwi.

Maana hata miaka ya 1990s Dawa zilikuepo but it was too expensive.

I lost 8 siblings and two parents .

Aisee itakuwa noma
Mwandikie barua kwa lugha anayoielewa
 
Ili watu waache kulalana hovyo maana imekuwa too much,dizain wamekuwa kama ni mbwa wanafanya kubambiana tu mkubwa kwa mdogo mdogo kwa mkubwa.
 
Back
Top Bottom