mageuzi1992
JF-Expert Member
- Apr 9, 2010
- 2,502
- 256
Mbona hujaelezea vizuri? Ni shairi au hadithi ya zamani? Ilifundishwa shule au ni ngano za babu na bibi jioni kando ya moto?Karudi baba mmoja toka safari yambali, kavimba yote mapaja na kutetemeka mwili...
watoto wake wakaja ili kumtaka hali wakataka na kauli iwafae maishaniiii
akatamka mgonjwaaa ninaumwa kwelikweli akatoka jasho mwili akakata na kauliiii
Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali
Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili, Watoto wake wakaja, ili kumtaka Hali, wakataka na kauli iwafae maishani