Nikikumbuka zamani!

Nikikumbuka zamani!

mageuzi1992

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2010
Posts
2,502
Reaction score
256
Karudi baba mmoja toka safari yambali, kavimba yote mapaja na kutetemeka mwili...
watoto wake wakaja ili kumtaka hali wakataka na kauli iwafae maishaniiii
akatamka mgonjwaaa ninaumwa kwelikweli akatoka jasho mwili akakata na kauliiii
 
Mbona hujaelezea vizuri? Ni shairi au hadithi ya zamani? Ilifundishwa shule au ni ngano za babu na bibi jioni kando ya moto?
 
Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali
Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili, Watoto wake wakaja, ili kumtaka Hali, wakataka na kauli iwafae maishani
 
Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali
Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili, Watoto wake wakaja, ili kumtaka Hali, wakataka na kauli iwafae maishani

Akatamka mgonjwa,ninaumwa kwelikwei,,,,,hata kama nikichanjwa,haitoki homa kali,,,,,roho naona yachinjwa,kifo kimenikabili,,,,,,kama mwataka kauli,semeni niseme nini?
 
Back
Top Bottom