Tayo zeboss
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 467
- 196
HTC new modern
Napita tu
tecno m3
Sifa za simu pia unapatikana wapi?
hata kugogo hujui pia?
Mmmmh.
habari wakuu nina laptop yangu aina yaSiemens Processor 1.60 ram 1GB, hard disk160,cD room iko poa sana ila kuhusu betri linakaa na chaji dk 30 hadi na tano! Je,nikikupa hii machine ww utanipa simu gani? Asante!
Namimi nakupa siemen c25View attachment 166651
habari wakuu nina laptop yangu aina yaSiemens Processor 1.60 ram 1GB, hard disk160,cD room iko poa sana ila kuhusu betri linakaa na chaji dk 30 hadi na tano! Je,nikikupa hii machine ww utanipa simu gani? Asante!
Picha hyoo wakuu mliyo ni PM
Naona kama inafaa;
sasa mbona hapo mpo wawili?
Msije mkaileta halafu mkaondoka nayo tena?