Nikikupa laptop wewe utanipa simu gani??!! Karibu tuongee kidogo!

Nikikupa laptop wewe utanipa simu gani??!! Karibu tuongee kidogo!

habari wakuu nina laptop yangu aina yaSiemens Processor 1.60 ram 1GB, hard disk160,cD room iko poa sana ila kuhusu betri linakaa na chaji dk 30 hadi na tano! Je,nikikupa hii machine ww utanipa simu gani? Asante!

Weka picha.
 
Back
Top Bottom