Tayo zeboss
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 467
- 196
- Thread starter
-
- #21
Nakupa laki na nusu then unakwenda kununua simu dukani.
Naona kama inafaa;
sasa mbona hapo mpo wawili?
Msije mkaileta halafu mkaondoka nayo tena?
habari wakuu nina laptop yangu aina yaSiemens Processor 1.60 ram 1GB, hard disk160,cD room iko poa sana ila kuhusu betri linakaa na chaji dk 30 hadi na tano! Je,nikikupa hii machine ww utanipa simu gani? Asante!
Mimi nakupa 170,000 , ukanunue huawei dukani.