Nikikutana na Majaliwa aliyejinadi kufungua mlango wa ndege ya Precision namcharaza viboko kweli kweli! Watanzania ifikie pahala tutumie akili

Tunapigika sana hapa
 
Hapa tuna angalia ujasiri zaidi kuliko sayansi kwanza. Akipewa uwezo na maarifa anaweza kufanya makubwa zaidi baadaye. Ujasiri ni kipaji. Ndiyo maana wewe hapo ulipo hujui kuogelea hadi leo, pole sana.
 
mbona kuna kipindi jf ulikuwa na akili akili?,kimetokea nini tena kichwani humo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…