Nikikutana na Majaliwa aliyejinadi kufungua mlango wa ndege ya Precision namcharaza viboko kweli kweli! Watanzania ifikie pahala tutumie akili

Kwani ni nini hiyo inawauma na huyo Kijana?watz kwa majungu hamjambo.
Hiyo one million na ajira ndio imekua nongwa?
Ukiona hvyo jue mleta mada Ana wivu sna na Ni mtu hatari kuona meingine amefanikiwa bila kutumia nguvu kubwaa

Mm sioni tatizo la both majaliwa as long alikuepo na kufanya lolote aliloweza sawa hata pngene alikuja kwa lengo la kuiba ila ndio hvyo kufa kufahana

Wacheni kijan wa watu akafnye kazi ambayo ilishindwa kufanyika na wenye uweledi
 
Imenichukua muda sana na mpaka sasa bado siamini mlango wa Ndege vile ulivyo ikawa ni rahisi tu kwa Kasia

Lakini bado tunabaki kusema kama si kuhoji kwanini Uokoaji ukichelewa kwenye eneo la tukio kwa wenye mamlaka?
Ujasikiliza vzr alisema mlango ul ulikuwa umesha jamu hvyo kitendo Cha kuipiga kidgo tu na Kasia ndio ukaachiaa mm hapo namuelewaa
 
Bahati mbaya ya mafanikio yyt huwaga yana kiongozi Na ata km asiwe Na impact kubwa lakin ntabeba sifa, mi nimsikia rafiki wa majaliwa,.alichosifika Ni kua alikua mtu wa Kwanza kuonesha uthubutu wa kuchukulia hatua lakn pia alisaidia mrango kufunguka Na akaanza uokozi kabla ya wengne kufika
 
Naam, imefikia pahala watanzania tunajitumbukiza kwenye vijistori vya hovyo hovyo na kuvinadi pasipo kufanya utafiti wa kina. Hili mimi naliona kama tatizo kubwa sana kwetu kama watanzania.

Hivi karibuni ameibuka kijana mmoja ambaye alidai kuwa alifungua mlango wa ndege iliyopata ajali huko Kagera ya PW na kufanya abiria 23 watoke nje. Anadai kuwa mlango huo aliufungua kwa kuugonga na kasia la mti kutokea nje ndipo ukafunguka na mbali zaidi akadai kuwa alienda hadi upande wa Rubani na kufanya naye mawasiliano.

Sasa mimi nasema hivi, huu ni utapeli na ujinga wa hali ya juu kuuamini. Kwanza kijana yule hakuufungua mlango kwa njia anayodai! Kwangu mimi hilo hapana! Mlango ulifunguliwa kutokea ndani kwa mujibu wa fizikia ya ndege! Hilo kwenye mjadala nalifunga.

La pili ni kuwa upo uwezekanano mkubwa wa wale abiria pamoja na rubani waliokwama eneo la mbele ambapo ndege ilijikunja kutokana na kujibamiza kwa nguvu kwenye ardhi waliaga dunia muda mfupi sana baada ya dhoruba hiyo. Kishindo kilichoifanya ndege ikunjike hakikuwa kishindo cha kawaida hata kidogo. Yani kwa muonekano ule ndege ilipata dhoruba kali eneo lile na kwa sisi tunaopanda ndege kila uchwao tunajua muitikio wake ulikuwaje.

Kingine ni yule kijana aliyedai kuwa alipata kishoka cha kuvunja kioo ila akazuiwa kufanya hivyo. Emb acheni masihara nyie ya kuamini kila hadithi. Mnajua unene wa kile kioo??? Kama ndege iliweza kujibamiza vile hadi body ikakunjika kuelelekea chini na kioo kikabakia vile vile, je angeweza kukivunja kwa kishoka??
Munaoamini hii story na kutembea nayo kichwani "Wapumbavu wakubwa" Na siku nikikutana na yule kijana kweli atakula viboko kwa kuwadanganya watanzania wajinga!
Kwa mujibu wa survivor mmoja "a gentle man and engineer" at Kagera Sugar aliyehojiwa na Millard Ayo, ni kweli Air Hostess alifungua locks za mlango ila haukufunguka kabisha bali palitokea gape na mwanga toka nje ukaonekana ikimaanisha mlango ulining'inia kutokana na mechanical failure pamoja na nguvu ya maji kuusukuma mlango ujifunge kabisha kutokea nje. Ndipo alipofika SHUJAA Majaliwa na KASIA lake akaubetua mlango kwa nguvu kubwa na ukafunguka kwa kishindo ndio yule Engineer akaendelea kuukanyaga kwa nguvu ili usijifunge tena kwa msukumo wa maji. At this point, if you connect the dots between Majaliwa's and the Engineer's statements kuna elements of truth. At that point, ndipo watu wengi wakaendelea kutoka kwa kusaidiana wenyewe kwa wenyewe pamoja na wavuvi wengine wa MITUMBWI. Hence, Majaliwa ni shujaa kweli na uwezo huo hakuwa nao siku zote ila MUNGU alimtunuku "suddenly" ujasiri/ushujaa, media coverage, honor, money, employment and the rest is history. MUNGU akitaka kukunyanyua ghafla, hakuna awezaye kuzuia. Mimi ni Mkristo kwa kuzaliwa but please Read this in the Holly Qur'an:

Sura 1: The Key (Al-Fãtehah)​

[1:1] In the name of GOD, Most Gracious, Most Merciful.
[1:2] Praise be to GOD, Lord of the universe.
[1:3] Most Gracious, Most Merciful.
[1:4] Master of the Day of Judgment.
[1:5] You alone we worship; You alone we ask for help.
[1:6] Guide us in the right path;
[1:7] the path of those whom You blessed; not of those who have deserved wrath, nor of the strayers.

Nawasilisha.

".
 
Namaanisha external pressure ambayo ilikuwa inasukuma mlango kwa ndani sababu internal pressure ilikuwa ndogo ndani kulikuwa na nafasi na hewa.
Nakukumbusha tu fizikia ya elimu ya upili.
BTW, aviation ni moja kati ya field zangu nyingi za kutafutia kipato na hapo Precision Air nimepitia miaka hiyo.
Kwa damage ile tuliyoiona kwenye ndege ile, hakuna shaka kuwa maji yalikwishaingia nadni ya ndege ndani muda mfupi sana, na level ya maji ya ndani ya ndege na yale ya nje yalikuwa sawa. Hivyo hakukuwa na difference in pressure baina ya pande hizo mbili (ndani na nje). Kwa hiyo maji yasichukuliwe kama kizuizi cha kufungua mlango.
 
Kijana majaliwa ni wa hovyo nikikutana naye tena ni wa Kupigwa viboko na kufundishwa maadili anaongopea nchi
 
Kwa damage ile tuliyoiona kwenye ndege ile, hakuna shaka kuwa maji yalikwishaingia nadni ya ndege ndani muda mfupi sana, na level ya maji ya ndani ya ndege na yale ya nje yalikuwa sawa. Hivyo hakukuwa na difference in pressure baina ya pande hizo mbili (ndani na nje). Kwa hiyo maji yasichukuliwe kama kizuizi cha kufungua mlango.
Vipi kama mlango uligoma sababu ya mechanical damage kwenye mlango?
 
Naam, imefikia pahala watanzania tunajitumbukiza kwenye vijistori vya hovyo hovyo na kuvinadi pasipo kufanya utafiti wa kina. Hili mimi naliona kama tatizo kubwa sana kwetu kama watanzania.

Hivi karibuni ameibuka kijana mmoja ambaye alidai kuwa alifungua mlango wa ndege iliyopata ajali huko Kagera ya PW na kufanya abiria 23 watoke nje. Anadai kuwa mlango huo aliufungua kwa kuugonga na kasia la mti kutokea nje ndipo ukafunguka na mbali zaidi akadai kuwa alienda hadi upande wa Rubani na kufanya naye mawasiliano.

Sasa mimi nasema hivi, huu ni utapeli na ujinga wa hali ya juu kuuamini. Kwanza kijana yule hakuufungua mlango kwa njia anayodai! Kwangu mimi hilo hapana! Mlango ulifunguliwa kutokea ndani kwa mujibu wa fizikia ya ndege! Hilo kwenye mjadala nalifunga.

La pili ni kuwa upo uwezekanano mkubwa wa wale abiria pamoja na rubani waliokwama eneo la mbele ambapo ndege ilijikunja kutokana na kujibamiza kwa nguvu kwenye ardhi waliaga dunia muda mfupi sana baada ya dhoruba hiyo. Kishindo kilichoifanya ndege ikunjike hakikuwa kishindo cha kawaida hata kidogo. Yani kwa muonekano ule ndege ilipata dhoruba kali eneo lile na kwa sisi tunaopanda ndege kila uchwao tunajua muitikio wake ulikuwaje.

Kingine ni yule kijana aliyedai kuwa alipata kishoka cha kuvunja kioo ila akazuiwa kufanya hivyo. Emb acheni masihara nyie ya kuamini kila hadithi. Mnajua unene wa kile kioo??? Kama ndege iliweza kujibamiza vile hadi body ikakunjika kuelelekea chini na kioo kikabakia vile vile, je angeweza kukivunja kwa kishoka??
Munaoamini hii story na kutembea nayo kichwani "Wapumbavu wakubwa" Na siku nikikutana na yule kijana kweli atakula viboko kwa kuwadanganya watanzania wajinga!
Kuna abiria kasema alikaa siti za mbele kabisa karibu na rubani.. na kapona fuatilia
 
Ujasikiliza vzr alisema mlango ul ulikuwa umesha jamu hvyo kitendo Cha kuipiga kidgo tu na Kasia ndio ukaachiaa mm hapo namuelewaa
Unamuelewa kwa kuwa hujui kitu!
 
FhRFmRjWYAAlpn1.jpeg
 
Naam, imefikia pahala watanzania tunajitumbukiza kwenye vijistori vya hovyo hovyo na kuvinadi pasipo kufanya utafiti wa kina. Hili mimi naliona kama tatizo kubwa sana kwetu kama watanzania.

Hivi karibuni ameibuka kijana mmoja ambaye alidai kuwa alifungua mlango wa ndege iliyopata ajali huko Kagera ya PW na kufanya abiria 23 watoke nje. Anadai kuwa mlango huo aliufungua kwa kuugonga na kasia la mti kutokea nje ndipo ukafunguka na mbali zaidi akadai kuwa alienda hadi upande wa Rubani na kufanya naye mawasiliano.

Sasa mimi nasema hivi, huu ni utapeli na ujinga wa hali ya juu kuuamini. Kwanza kijana yule hakuufungua mlango kwa njia anayodai! Kwangu mimi hilo hapana! Mlango ulifunguliwa kutokea ndani kwa mujibu wa fizikia ya ndege! Hilo kwenye mjadala nalifunga.

La pili ni kuwa upo uwezekanano mkubwa wa wale abiria pamoja na rubani waliokwama eneo la mbele ambapo ndege ilijikunja kutokana na kujibamiza kwa nguvu kwenye ardhi waliaga dunia muda mfupi sana baada ya dhoruba hiyo. Kishindo kilichoifanya ndege ikunjike hakikuwa kishindo cha kawaida hata kidogo. Yani kwa muonekano ule ndege ilipata dhoruba kali eneo lile na kwa sisi tunaopanda ndege kila uchwao tunajua muitikio wake ulikuwaje.

Kingine ni yule kijana aliyedai kuwa alipata kishoka cha kuvunja kioo ila akazuiwa kufanya hivyo. Emb acheni masihara nyie ya kuamini kila hadithi. Mnajua unene wa kile kioo??? Kama ndege iliweza kujibamiza vile hadi body ikakunjika kuelelekea chini na kioo kikabakia vile vile, je angeweza kukivunja kwa kishoka??
Munaoamini hii story na kutembea nayo kichwani "Wapumbavu wakubwa" Na siku nikikutana na yule kijana kweli atakula viboko kwa kuwadanganya watanzania wajinga!
Wivu ni kidonda ukishiriki utakonda!
 
Mlango wa dharula unafunguka kwa nje kwa kujifyatua na hydraulic cylinder unaupeleka juu mpaka rod end unabaki hivyo mpaka usukumwe tena kwenda ndani na kuwekwa latch..

walioko ndani walifyatua latch na kilichobaki ni free movement ya mlango kwa msaada wa 2 x hydraulic cylinders.

Kama ndege ilikuwa kwenye maji maana yake kuufungua utashindana na pressure ya maji yanayopush kuja ndani, maana yake aliyeko ndani atapush nje na aliyeko nje atauvuta kuja nje.

aliyeko nje alikuwa tayari ndani ya maji, walikuokuwa ndani hawakuwa kwenye maji 100% bali yalikuwa size ya kifua...piga mwenyewe hesabu nani alikuwa na urahisi wa kuufungua mlango.
 
Maji yamekorogeka.
Raia wanahisi kupangwa.
Sio rahisi kuujua ukwli.
 
Naam, imefikia pahala watanzania tunajitumbukiza kwenye vijistori vya hovyo hovyo na kuvinadi pasipo kufanya utafiti wa kina. Hili mimi naliona kama tatizo kubwa sana kwetu kama watanzania.

Hivi karibuni ameibuka kijana mmoja ambaye alidai kuwa alifungua mlango wa ndege iliyopata ajali huko Kagera ya PW na kufanya abiria 23 watoke nje. Anadai kuwa mlango huo aliufungua kwa kuugonga na kasia la mti kutokea nje ndipo ukafunguka na mbali zaidi akadai kuwa alienda hadi upande wa Rubani na kufanya naye mawasiliano.

Sasa mimi nasema hivi, huu ni utapeli na ujinga wa hali ya juu kuuamini. Kwanza kijana yule hakuufungua mlango kwa njia anayodai! Kwangu mimi hilo hapana! Mlango ulifunguliwa kutokea ndani kwa mujibu wa fizikia ya ndege! Hilo kwenye mjadala nalifunga.

La pili ni kuwa upo uwezekanano mkubwa wa wale abiria pamoja na rubani waliokwama eneo la mbele ambapo ndege ilijikunja kutokana na kujibamiza kwa nguvu kwenye ardhi waliaga dunia muda mfupi sana baada ya dhoruba hiyo. Kishindo kilichoifanya ndege ikunjike hakikuwa kishindo cha kawaida hata kidogo. Yani kwa muonekano ule ndege ilipata dhoruba kali eneo lile na kwa sisi tunaopanda ndege kila uchwao tunajua muitikio wake ulikuwaje.

Kingine ni yule kijana aliyedai kuwa alipata kishoka cha kuvunja kioo ila akazuiwa kufanya hivyo. Emb acheni masihara nyie ya kuamini kila hadithi. Mnajua unene wa kile kioo??? Kama ndege iliweza kujibamiza vile hadi body ikakunjika kuelelekea chini na kioo kikabakia vile vile, je angeweza kukivunja kwa kishoka??
Munaoamini hii story na kutembea nayo kichwani "Wapumbavu wakubwa" Na siku nikikutana na yule kijana kweli atakula viboko kwa kuwadanganya watanzania wajinga!
We jamaa bana ndio unjiona unaakili sana , kumbe boya tu , majaliwa hakuweza kufungua mlango peke yake , ilikua ni team work kati yake na wahudumu ndani ,
 
Back
Top Bottom