Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Huyu ni G Sam mwenye kichwa cha Gentamycine. Uliyoongea ni kweli lakini majibu yako Leo, mhhhh!Kaangalie jinsi mlango ulivyofunguka na siyo kunipotezea muda wangu bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni G Sam mwenye kichwa cha Gentamycine. Uliyoongea ni kweli lakini majibu yako Leo, mhhhh!Kaangalie jinsi mlango ulivyofunguka na siyo kunipotezea muda wangu bure
Achana naye, tutaelewana tu huko mbele ya safari. Kama mlango ulifunguliwa kutoka kwa ndani nani aliufungua? Ndege hiyo haikujibamiza chini, bali ilisishia juu ikawa ianelea juu ya maji, haikufika chini. Ndege hiyo imekuja kukatika vipande viwili kwenye process za kuopolewa kutoka kwenye majii; kutimiza unabii wa aliyetabiri kuwa kuna ajali ya ndege itatokea halafu ndege hiyo itakatika vipande viwili.Sawa mkuu lakini umetutukana sana
ila hakuna sehemu amesema alifanikiwa kuvunja kioo kwa kishokaNaam, imefikia pahala watanzania tunajitumbukiza kwenye vijistori vya hovyo hovyo na kuvinadi pasipo kufanya utafiti wa kina. Hili mimi naliona kama tatizo kubwa sana kwetu kama watanzania.
Hivi karibuni ameibuka kijana mmoja ambaye alidai kuwa alifungua mlango wa ndege iliyopata ajali huko Kagera ya PW na kufanya abiria 23 watoke nje. Anadai kuwa mlango huo aliufungua kwa kuugonga na kasia la mti kutokea nje ndipo ukafunguka na mbali zaidi akadai kuwa alienda hadi upande wa Rubani na kufanya naye mawasiliano.
Sasa mimi nasema hivi, huu ni utapeli na ujinga wa hali ya juu kuuamini. Kwanza kijana yule hakuufungua mlango kwa njia anayodai! Kwangu mimi hilo hapana! Mlango ulifunguliwa kutokea ndani kwa mujibu wa fizikia ya ndege! Hilo kwenye mjadala nalifunga.
La pili ni kuwa upo uwezekanano mkubwa wa wale abiria pamoja na rubani waliokwama eneo la mbele ambapo ndege ilijikunja kutokana na kujibamiza kwa nguvu kwenye ardhi waliaga dunia muda mfupi sana baada ya dhoruba hiyo. Kishindo kilichoifanya ndege ikunjike hakikuwa kishindo cha kawaida hata kidogo. Yani kwa muonekano ule ndege ilipata dhoruba kali eneo lile na kwa sisi tunaopanda ndege kila uchwao tunajua muitikio wake ulikuwaje.
Kingine ni yule kijana aliyedai kuwa alipata kishoka cha kuvunja kioo ila akazuiwa kufanya hivyo. Emb acheni masihara nyie ya kuamini kila hadithi. Mnajua unene wa kile kioo??? Kama ndege iliweza kujibamiza vile hadi body ikakunjika kuelelekea chini na kioo kikabakia vile vile, je angeweza kukivunja kwa kishoka??
Munaoamini hii story na kutembea nayo kichwani "Wapumbavu wakubwa" Na siku nikikutana na yule kijana kweli atakula viboko kwa kuwadanganya watanzania wajinga!
Tumuweke kwenye noti mpya ya afu tatuNapendekeza Noti mpya iwekwe picha ya shujaa jasiri Majaliwa. Hasa Noti ya 1000 na 2000. Na pia ajengewe mnara.
Isitoshe Serikali, bunge na wananchi kwa jumla tumpigie debe awekwe kwenye front cover ya Times person of the year 2022. Tusimuachie kabisa Zelenskyy achukue hiyo nafasi.
Sawa, ila wanachompa ushujaa ni kuwaokoa abiria kwa mtumbwi wakeNaam, imefikia pahala watanzania tunajitumbukiza kwenye vijistori vya hovyo hovyo na kuvinadi pasipo kufanya utafiti wa kina. Hili mimi naliona kama tatizo kubwa sana kwetu kama watanzania.
Hivi karibuni ameibuka kijana mmoja ambaye alidai kuwa alifungua mlango wa ndege iliyopata ajali huko Kagera ya PW na kufanya abiria 23 watoke nje. Anadai kuwa mlango huo aliufungua kwa kuugonga na kasia la mti kutokea nje ndipo ukafunguka na mbali zaidi akadai kuwa alienda hadi upande wa Rubani na kufanya naye mawasiliano.
Sasa mimi nasema hivi, huu ni utapeli na ujinga wa hali ya juu kuuamini. Kwanza kijana yule hakuufungua mlango kwa njia anayodai! Kwangu mimi hilo hapana! Mlango ulifunguliwa kutokea ndani kwa mujibu wa fizikia ya ndege! Hilo kwenye mjadala nalifunga.
La pili ni kuwa upo uwezekanano mkubwa wa wale abiria pamoja na rubani waliokwama eneo la mbele ambapo ndege ilijikunja kutokana na kujibamiza kwa nguvu kwenye ardhi waliaga dunia muda mfupi sana baada ya dhoruba hiyo. Kishindo kilichoifanya ndege ikunjike hakikuwa kishindo cha kawaida hata kidogo. Yani kwa muonekano ule ndege ilipata dhoruba kali eneo lile na kwa sisi tunaopanda ndege kila uchwao tunajua muitikio wake ulikuwaje.
Kingine ni yule kijana aliyedai kuwa alipata kishoka cha kuvunja kioo ila akazuiwa kufanya hivyo. Emb acheni masihara nyie ya kuamini kila hadithi. Mnajua unene wa kile kioo??? Kama ndege iliweza kujibamiza vile hadi body ikakunjika kuelelekea chini na kioo kikabakia vile vile, je angeweza kukivunja kwa kishoka??
Munaoamini hii story na kutembea nayo kichwani "Wapumbavu wakubwa" Na siku nikikutana na yule kijana kweli atakula viboko kwa kuwadanganya watanzania wajinga!
Hii stori ilinifikia miaka ya tisini.Mkuu umechafukwa sana na hii kitu! Uliwahi kusikia habari ya mtoto aliyekuwa na mama yake seat ya mbele ya bus lililogongana uso kwa uso na lori yeye akarushwa akakaa salama salmin juu ya gari liliogongana na bus? ..hata hivyo inafikirisha..
Bahati ya mwenzio usiilalie mlango waziNaam, imefikia pahala watanzania tunajitumbukiza kwenye vijistori vya hovyo hovyo na kuvinadi pasipo kufanya utafiti wa kina. Hili mimi naliona kama tatizo kubwa sana kwetu kama watanzania.
Hivi karibuni ameibuka kijana mmoja ambaye alidai kuwa alifungua mlango wa ndege iliyopata ajali huko Kagera ya PW na kufanya abiria 23 watoke nje. Anadai kuwa mlango huo aliufungua kwa kuugonga na kasia la mti kutokea nje ndipo ukafunguka na mbali zaidi akadai kuwa alienda hadi upande wa Rubani na kufanya naye mawasiliano.
Sasa mimi nasema hivi, huu ni utapeli na ujinga wa hali ya juu kuuamini. Kwanza kijana yule hakuufungua mlango kwa njia anayodai! Kwangu mimi hilo hapana! Mlango ulifunguliwa kutokea ndani kwa mujibu wa fizikia ya ndege! Hilo kwenye mjadala nalifunga.
La pili ni kuwa upo uwezekanano mkubwa wa wale abiria pamoja na rubani waliokwama eneo la mbele ambapo ndege ilijikunja kutokana na kujibamiza kwa nguvu kwenye ardhi waliaga dunia muda mfupi sana baada ya dhoruba hiyo. Kishindo kilichoifanya ndege ikunjike hakikuwa kishindo cha kawaida hata kidogo. Yani kwa muonekano ule ndege ilipata dhoruba kali eneo lile na kwa sisi tunaopanda ndege kila uchwao tunajua muitikio wake ulikuwaje.
Kingine ni yule kijana aliyedai kuwa alipata kishoka cha kuvunja kioo ila akazuiwa kufanya hivyo. Emb acheni masihara nyie ya kuamini kila hadithi. Mnajua unene wa kile kioo??? Kama ndege iliweza kujibamiza vile hadi body ikakunjika kuelelekea chini na kioo kikabakia vile vile, je angeweza kukivunja kwa kishoka??
Munaoamini hii story na kutembea nayo kichwani "Wapumbavu wakubwa" Na siku nikikutana na yule kijana kweli atakula viboko kwa kuwadanganya watanzania wajinga!
Uzi ufungwe.Mungu akiingia Mjini kwa ajili ya kumuinua mtu wake aliyemkusudia Hakuna lisilowezekana.
Kama Mtume Petro alitoka kwenye Jela lenye mageti manne mfululizo Hadi kufika n'je bila kuvunja kokote lakini mageti yakafunguka yenyewe
Je inashindikana vipi kwa Majaliwa Mlango kumfungukia au Dirisha kuvunjika Ili aokoe hao waliokusudiwa kuokoka? Na yeye aifikie Destiny yake?
Nimewaza mbali sana😀😀Lakin mkiambiwa nabii Musa alipasua bahari kwa kuyagusa maji tu mnakubali na hela mnatoa 😂😂😂 weusi tulirogwa vibaya