Nikikutana na Majaliwa aliyejinadi kufungua mlango wa ndege ya Precision namcharaza viboko kweli kweli! Watanzania ifikie pahala tutumie akili

Kaangalie jinsi mlango ulivyofunguka na siyo kunipotezea muda wangu bure
Huyu ni G Sam mwenye kichwa cha Gentamycine. Uliyoongea ni kweli lakini majibu yako Leo, mhhhh!
 
Labda kama impact iliufanya mlango ukawa loose kiasi kwamba alipoupiga na kasia ukasogea pembeni, vinginevyo ni vigumu sana kufungua huo mlango kutokea nje maana handle zake au button zake za kuufungua ziko kwa ndani. Nakubaliana pia, sidhani ni rahisi kutumia nyundo au shoka kubomboa kioo cha ndege, ukizingatia kwamba huko palikuwa pamezama majini. All in all, kama jitihada za huyo kijana zilifanikisha kuokolewa hao abiria 23 basi apewe pongezi zake..........​
 
nbafortunebello~p~Ck7qKCGN81P~1.jpg
 
Sawa mkuu lakini umetutukana sana
Achana naye, tutaelewana tu huko mbele ya safari. Kama mlango ulifunguliwa kutoka kwa ndani nani aliufungua? Ndege hiyo haikujibamiza chini, bali ilisishia juu ikawa ianelea juu ya maji, haikufika chini. Ndege hiyo imekuja kukatika vipande viwili kwenye process za kuopolewa kutoka kwenye majii; kutimiza unabii wa aliyetabiri kuwa kuna ajali ya ndege itatokea halafu ndege hiyo itakatika vipande viwili.
Mahali ndege ilipokuwa imezama ni zaidi ya mita 100 kutoka ufukweni na hivyo ilikuwa kwenye kina kirefu mno cha maji kiasi kwamba kama ingeweza kugusa chini ya kina cha ziiwai, ingezama yote moja kwa moja chini na isingeweza kkuonekana nje ikiwa juu ya maji. Majaliwa anaandamwa kwa sababu anazo clues za namna tukio lilivyotokea
Majaliwa hakupelekwa Bungeni kwenda kupewa zaid ya SH million tano; bali kwa sababu "NCHI" ilikuwa huko. Walitamani kumsikiliza. Tutaelewana tu huko mbele ya safari
 
Suala linaohusu uokoaji huwez kuacha kuwataja kwa sana Wavuv ambao walikuepo muda wote eneo la tukio wakitumia Mitumbwi yao kubeba watu waliokolewa kwenye ndege maana ata kama wadada wa kwenye ndege walifungua mlango ila hawakujua nje ingekuwa aje ila Mungu aliwaanda wakoaji kwa ajil yao . Kijana Majaliwa kwa maelezo yake ni kwamba alisaidia kufungua mlango kwa kasia lake, uliokuwa umeondolewa komeo tayar na wahudumu wa ndan ya ndege. Inawezekana Watu walikufa mara tu baada ya ndege kufika chin asa hasa waliokuwa eneo la katikati kwenye impact kubwa ila Maruban ata kwa mujib wa Regional Commissioner walikuwa hai ata waligusa knobe na ndege kuwasha taa hvyo uwezekano wa Kijana Majaliwa kuwasiliana nae kwa Ishara kupitia kioo kikubwa cha mbele upo na sidhan kama Kijana Majaliwa anafahamu thinkness ya Windscreen ya ndege ila kwa mujib aliona ishara ya kuwa vunja kioo ili tutoke ila sasa kwa ushahid tungempata aliyemzuia Majaliwa kuenda kuvunja kioo kwa minajili kuwa wanawasiliana na Ruban. Cha kujiuliza je Majaliwa angefanikiwa kuvunja kioo angeweza kumtoa Pilot bila madhara..?! Zaidi ya hayo basi mapenz ya Mungu yatimizwe.. tunamshukuru kwa ajil Kijana Majaliwa Jackson..
 
il
Naam, imefikia pahala watanzania tunajitumbukiza kwenye vijistori vya hovyo hovyo na kuvinadi pasipo kufanya utafiti wa kina. Hili mimi naliona kama tatizo kubwa sana kwetu kama watanzania.

Hivi karibuni ameibuka kijana mmoja ambaye alidai kuwa alifungua mlango wa ndege iliyopata ajali huko Kagera ya PW na kufanya abiria 23 watoke nje. Anadai kuwa mlango huo aliufungua kwa kuugonga na kasia la mti kutokea nje ndipo ukafunguka na mbali zaidi akadai kuwa alienda hadi upande wa Rubani na kufanya naye mawasiliano.

Sasa mimi nasema hivi, huu ni utapeli na ujinga wa hali ya juu kuuamini. Kwanza kijana yule hakuufungua mlango kwa njia anayodai! Kwangu mimi hilo hapana! Mlango ulifunguliwa kutokea ndani kwa mujibu wa fizikia ya ndege! Hilo kwenye mjadala nalifunga.

La pili ni kuwa upo uwezekanano mkubwa wa wale abiria pamoja na rubani waliokwama eneo la mbele ambapo ndege ilijikunja kutokana na kujibamiza kwa nguvu kwenye ardhi waliaga dunia muda mfupi sana baada ya dhoruba hiyo. Kishindo kilichoifanya ndege ikunjike hakikuwa kishindo cha kawaida hata kidogo. Yani kwa muonekano ule ndege ilipata dhoruba kali eneo lile na kwa sisi tunaopanda ndege kila uchwao tunajua muitikio wake ulikuwaje.

Kingine ni yule kijana aliyedai kuwa alipata kishoka cha kuvunja kioo ila akazuiwa kufanya hivyo. Emb acheni masihara nyie ya kuamini kila hadithi. Mnajua unene wa kile kioo??? Kama ndege iliweza kujibamiza vile hadi body ikakunjika kuelelekea chini na kioo kikabakia vile vile, je angeweza kukivunja kwa kishoka??
Munaoamini hii story na kutembea nayo kichwani "Wapumbavu wakubwa" Na siku nikikutana na yule kijana kweli atakula viboko kwa kuwadanganya watanzania wajinga!
ila hakuna sehemu amesema alifanikiwa kuvunja kioo kwa kishoka
 
Kama sio huo mlango kufunguliwa wangetokaje wale abira 23? Ina maana ungetaka abiria wote wafe?Nampongeza kijana!!
 
Napendekeza Noti mpya iwekwe picha ya shujaa jasiri Majaliwa. Hasa Noti ya 1000 na 2000. Na pia ajengewe mnara.

Isitoshe Serikali, bunge na wananchi kwa jumla tumpigie debe awekwe kwenye front cover ya Times person of the year 2022. Tusimuachie kabisa Zelenskyy achukue hiyo nafasi.
Tumuweke kwenye noti mpya ya afu tatu
 
Naam, imefikia pahala watanzania tunajitumbukiza kwenye vijistori vya hovyo hovyo na kuvinadi pasipo kufanya utafiti wa kina. Hili mimi naliona kama tatizo kubwa sana kwetu kama watanzania.

Hivi karibuni ameibuka kijana mmoja ambaye alidai kuwa alifungua mlango wa ndege iliyopata ajali huko Kagera ya PW na kufanya abiria 23 watoke nje. Anadai kuwa mlango huo aliufungua kwa kuugonga na kasia la mti kutokea nje ndipo ukafunguka na mbali zaidi akadai kuwa alienda hadi upande wa Rubani na kufanya naye mawasiliano.

Sasa mimi nasema hivi, huu ni utapeli na ujinga wa hali ya juu kuuamini. Kwanza kijana yule hakuufungua mlango kwa njia anayodai! Kwangu mimi hilo hapana! Mlango ulifunguliwa kutokea ndani kwa mujibu wa fizikia ya ndege! Hilo kwenye mjadala nalifunga.

La pili ni kuwa upo uwezekanano mkubwa wa wale abiria pamoja na rubani waliokwama eneo la mbele ambapo ndege ilijikunja kutokana na kujibamiza kwa nguvu kwenye ardhi waliaga dunia muda mfupi sana baada ya dhoruba hiyo. Kishindo kilichoifanya ndege ikunjike hakikuwa kishindo cha kawaida hata kidogo. Yani kwa muonekano ule ndege ilipata dhoruba kali eneo lile na kwa sisi tunaopanda ndege kila uchwao tunajua muitikio wake ulikuwaje.

Kingine ni yule kijana aliyedai kuwa alipata kishoka cha kuvunja kioo ila akazuiwa kufanya hivyo. Emb acheni masihara nyie ya kuamini kila hadithi. Mnajua unene wa kile kioo??? Kama ndege iliweza kujibamiza vile hadi body ikakunjika kuelelekea chini na kioo kikabakia vile vile, je angeweza kukivunja kwa kishoka??
Munaoamini hii story na kutembea nayo kichwani "Wapumbavu wakubwa" Na siku nikikutana na yule kijana kweli atakula viboko kwa kuwadanganya watanzania wajinga!
Sawa, ila wanachompa ushujaa ni kuwaokoa abiria kwa mtumbwi wake
 
Mkuu umechafukwa sana na hii kitu! Uliwahi kusikia habari ya mtoto aliyekuwa na mama yake seat ya mbele ya bus lililogongana uso kwa uso na lori yeye akarushwa akakaa salama salmin juu ya gari liliogongana na bus? ..hata hivyo inafikirisha..
Hii stori ilinifikia miaka ya tisini.
Wewe imekufika lini
 
Naam, imefikia pahala watanzania tunajitumbukiza kwenye vijistori vya hovyo hovyo na kuvinadi pasipo kufanya utafiti wa kina. Hili mimi naliona kama tatizo kubwa sana kwetu kama watanzania.

Hivi karibuni ameibuka kijana mmoja ambaye alidai kuwa alifungua mlango wa ndege iliyopata ajali huko Kagera ya PW na kufanya abiria 23 watoke nje. Anadai kuwa mlango huo aliufungua kwa kuugonga na kasia la mti kutokea nje ndipo ukafunguka na mbali zaidi akadai kuwa alienda hadi upande wa Rubani na kufanya naye mawasiliano.

Sasa mimi nasema hivi, huu ni utapeli na ujinga wa hali ya juu kuuamini. Kwanza kijana yule hakuufungua mlango kwa njia anayodai! Kwangu mimi hilo hapana! Mlango ulifunguliwa kutokea ndani kwa mujibu wa fizikia ya ndege! Hilo kwenye mjadala nalifunga.

La pili ni kuwa upo uwezekanano mkubwa wa wale abiria pamoja na rubani waliokwama eneo la mbele ambapo ndege ilijikunja kutokana na kujibamiza kwa nguvu kwenye ardhi waliaga dunia muda mfupi sana baada ya dhoruba hiyo. Kishindo kilichoifanya ndege ikunjike hakikuwa kishindo cha kawaida hata kidogo. Yani kwa muonekano ule ndege ilipata dhoruba kali eneo lile na kwa sisi tunaopanda ndege kila uchwao tunajua muitikio wake ulikuwaje.

Kingine ni yule kijana aliyedai kuwa alipata kishoka cha kuvunja kioo ila akazuiwa kufanya hivyo. Emb acheni masihara nyie ya kuamini kila hadithi. Mnajua unene wa kile kioo??? Kama ndege iliweza kujibamiza vile hadi body ikakunjika kuelelekea chini na kioo kikabakia vile vile, je angeweza kukivunja kwa kishoka??
Munaoamini hii story na kutembea nayo kichwani "Wapumbavu wakubwa" Na siku nikikutana na yule kijana kweli atakula viboko kwa kuwadanganya watanzania wajinga!
Bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi
 
Punguza makasiriko mkuu!! Najua majaliwa hakufanya kazi pekeake ilikua ni teamwork!! Kilicho mwinua majaliwa ni bahati tu!!
Hata wewe wakati wako wa bahati ukifika wenye makasiriko kama yako hawatoacha kuandika nyuzi kama zako
 
Mungu akiingia Mjini kwa ajili ya kumuinua mtu wake aliyemkusudia Hakuna lisilowezekana.
Kama Mtume Petro alitoka kwenye Jela lenye mageti manne mfululizo Hadi kufika n'je bila kuvunja kokote lakini mageti yakafunguka yenyewe

Je inashindikana vipi kwa Majaliwa Mlango kumfungukia au Dirisha kuvunjika Ili aokoe hao waliokusudiwa kuokoka? Na yeye aifikie Destiny yake?
Uzi ufungwe.
 
Tatizo ni jina la Majaliwa. Hawa watu wana asili ya uongo. Majaliwa mkubwa PM alitudanganya mchana kweupe kwamba jiwe ni mzima na anachapa kazi. Baada ya siku chache wimbo wa taifa ukapigwa na kutangaziwa kifo.

Majaliwa kwa uongo ni kiboko yao.
 
Back
Top Bottom