Nikikutana na mwanamke anayehubiri 50/50 naona nijichepushe mapema

Nikikutana na mwanamke anayehubiri 50/50 naona nijichepushe mapema

hyo picha maana yake sjaelewa yani human lamp?? Yaani waangazwe au?
 
Waogope sana wa aina hiyo. Unamuona yule anapuyanga Tanzania nzima,kuuhubiri 50/50. Yule alieachana na mumewe?. Kawa kama chizi hivi
 
Hapo hakutakuwa na ndoa ila kutakuwa na mtu anayeng'ang'ania vitu vilivyomzidi uwezo na mwisho mtatukanana tu.

50/50 wanayoipigania wanawake si ya majukumu bali ni kupata vitu kwa urahisi (bila kuvihangaikia).

View attachment 2931238
Mkuu usiwaogope kabisa .......tena ni wazuri mno.

Nilikuwa naye Mchaga wa Rombo aisee akiwa kwenye Insta na Facebook utajua ni Shetani.

Lakini alikuwa anakuja kwangu namkamua bila hata shiling moja na ananipikia na kunifuria nikiwa kwanza Mwanachuo enzi hizo.

Yaani wale wanakuwaga kama Repercusion fulani kutokana na madhira waliyopata kwa wanaume.

But Deep inside they do not mean it.

Nikikupa stori za Shangazi wa Kisiwani utaduaaa na hutoamini.
 
Hiyo 50/50kunakoelea mwanaume hatutaweza kumfokea mkeo akikosea ukiangalia yeye ni waziri ,meneja afisa wa jeshi na tutarajie ndoa za mkataba zinakuja soon na ndoa kudumu miaka 20.30.40 tusahau
 
Back
Top Bottom