Mkuu usiwaogope kabisa .......tena ni wazuri mno.Hapo hakutakuwa na ndoa ila kutakuwa na mtu anayeng'ang'ania vitu vilivyomzidi uwezo na mwisho mtatukanana tu.
50/50 wanayoipigania wanawake si ya majukumu bali ni kupata vitu kwa urahisi (bila kuvihangaikia).
View attachment 2931238
Hii 50/50 sijawahi kujua wanaongelea nini.Ndugu mwandishi hio 50/50 ipo good sana kama Mimi hapa Nina week nimelala ndani nakula na kunya yeye yupo job