Nikikutana na shabiki anayesema Yanga SC imefungwa kutokana na Mvua namzaba Keleb ( Kofi )

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwahiyo hiyo Mvua kwa dakika zote 90 na zile dakika 10 za Kubebwa ( Kutafutiwa Goli ) ilikuwa ikinyesha upande wa Yanga SC tu ( kwa Wachezaji Wao ) na kwa Klabu ya USM Alger kulikuwa na Jua linawaka ndiyo maana Wakawafunga na Wakashinda?

Poleni na leo nina Furaha isiyoelezeka.
 
Reactions: K11
Rudisheni hili Mbumbumbu Mirembe la sivyo lipatieni dawa zake maana tayari linaonesha jinsi gani dishi lake lilivyoyumba [emoji847]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kuna hili juha hapa. Hakika Yanga wana hazina kubwa ya wajinga
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…