Nikila chakula nadondoshadondosha kama mtoto mdogo

kibori nangai

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
1,430
Reaction score
2,130
Wanajamii foruma nawasalikuu sana poleni sana na mahangaikoo ya siku nzimaa
Niwasimuliee mkasaa kidogoo nimehamishwa kikazi mkoa mmoja humu katikati ya nchiii nimemuacha mama watoto huko mkoanii ,nimekuwa nikila mtaani kwa miezi sita hadi nikachokaa sana nimeamua kujipikiaaa toka mwezi umeanzaaa
Lkn sasa shida nikiwa nakulaaaa lazima idondokeee kila maraa sasa gheto linakuwa chafuuuu hadi keroo hadi namkumbuka mama watotooo

Nifanyajee ndugu zanguuuu
 
Kama unadondosha, basi mdomo wako utakua umetoboka...[emoji45] [emoji45]
Kama geto ni chafu, basi ujue unaishi/unalala jalalani....[emoji16] [emoji16]
 
Uwe unakula ukiwa juu ya mkeka ukimaliza unautoa nje na kumwaga vilivyo dondoka.
Utakuwa na nyota ya mdondoko
 
Wanajamii foruma nawasalikuu sana poleni sana na mahangaikoo ya siku nzimaa
Niwasimuliee mkasaa kidogoo nimehamishwa kikazi mkoa mmoja humu katikati ya nchiii nimemuacha mama watoto huko mkoanii ,nimekuwa nikila mtaani kwa miezi sita hadi nikachokaa sana nimeamua kujipikiaaa toka mwezi umeanzaaa
Lkn sasa shida nikiwa nakulaaaa lazima idondokeee kila maraa sasa gheto linakuwa chafuuuu hadi keroo hadi namkumbuka mama watotooo

Nifanyajee ndugu zanguuuu
Bamdogo Kazoa
 
Hahahaaa. Nimecheka sana yaani.

Jifunze tu kula taratibu pasi kuwa na papara sababu chakula ni chako na mlaji ni wewe. Na pia uwe unachota saizi ya kile kinachoweza kuingia mdomoni kwako.
 
Alivyoanza kutaka kutiririka na mada tu, nimejua kinachofata ni uzwazwa.
 
Kuna watu huwa mnakula vibayaa inabidi mle peke yaenu mmejificha
 
Hahahaaa. Nimecheka sana yaani.

Jifunze tu kula taratibu pasi kuwa na papara sababu chakula ni chako na mlaji ni wewe. Na pia uwe unachota saizi ya kile kinachoweza kuingia mdomoni kwako.
Ndio hapo. Ningekuwa karibu naye ningejitolea kumfunza namna ya ulaji mzuri aisee.

Sababu hii si kawaida rafiki.
Hahah!! Jamaa tatizo lake la kizembe sana aisee
 
Back
Top Bottom