Nikila chakula nadondoshadondosha kama mtoto mdogo

Nikila chakula nadondoshadondosha kama mtoto mdogo

Kula kwa kijiko na usijaze sana weka kiasi kama,,kama ni ugali kata tonge la wastani pia meza kwanza kabla ya kuweka chakula kingine mdomoni.
Kwa habari ya usafi unaishi mwenyewe safisha geto lako kila jmoss au pili unapotoka job.
Alafu hizi ni tabia zinaanza tangu udogoni fundisha na watoto wako wasiige
 
basi jua wewe bado ni mtoto mdogo..... ukikua utaacha
 
Aisee huyu ni mwanaume ana familia kabisa!!!!

Tz ya viwanda itoke wapi kwa akili hizi!!
 
M
Hahahaaa. Nimecheka sana yaani.

Jifunze tu kula taratibu pasi kuwa na papara sababu chakula ni chako na mlaji ni wewe. Na pia uwe unachota saizi ya kile kinachoweza kuingia mdomoni kwako.
mkuu ahsanteee sanaaa
 
Wanajamii foruma nawasalikuu sana poleni sana na mahangaikoo ya siku nzimaa
Niwasimuliee mkasaa kidogoo nimehamishwa kikazi mkoa mmoja humu katikati ya nchiii nimemuacha mama watoto huko mkoanii ,nimekuwa nikila mtaani kwa miezi sita hadi nikachokaa sana nimeamua kujipikiaaa toka mwezi umeanzaaa
Lkn sasa shida nikiwa nakulaaaa lazima idondokeee kila maraa sasa gheto linakuwa chafuuuu hadi keroo hadi namkumbuka mama watotooo

Nifanyajee ndugu zanguuuu

Nenda hospital ukacheki afya. Usije ukawa pia na stress zinazokaribia kukuletea stroke ambayo huwa na dalili ya lack of coordination ya viungo.

Usichukulie mzaha.
 
Nenda hospital ukacheki afya. Usije ukawa pia na stress zinazokaribia kukuletea stroke ambayo huwa na dalili ya lack of coordination ya viungo.

Usichukulie mzaha.
Haaaaa haaaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wanajamii foruma nawasalikuu sana poleni sana na mahangaikoo ya siku nzimaa
Niwasimuliee mkasaa kidogoo nimehamishwa kikazi mkoa mmoja humu katikati ya nchiii nimemuacha mama watoto huko mkoanii ,nimekuwa nikila mtaani kwa miezi sita hadi nikachokaa sana nimeamua kujipikiaaa toka mwezi umeanzaaa
Lkn sasa shida nikiwa nakulaaaa lazima idondokeee kila maraa sasa gheto linakuwa chafuuuu hadi keroo hadi namkumbuka mama watotooo

Nifanyajee ndugu zanguuuu

Wewe hauna njaa maana ungekuwa na njaa usinge angusha ukilacho. Usituletee dharau zako hapa mbele ya chakula, alaaa.
 
Uwe unamfungulia kuku wakati wa kula ili awe anayadaka hayo mabaki unayodondosha
 
Naaam wakuuu kwakwelii wanajamvii nimepokeaa maoni yenu na ushaurii
Najua humu hatufanani kitabua kimtazamo na vitu vingiii sana
Ilaa nimeanzaa kutumiaa mikonoo yanguuu kula msosi napigaa kama sina akili mzuriii hapaa
 
Back
Top Bottom