kibori nangai
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,430
- 2,130
Hahahaha mpe mwenzio njia afanyaje ili asidondoshe kama mtotokama hauna uchizi basi acha bangi hazikufai
Swali zuri.Ukila na mkono au na kijiko tuanzie hapo kwanza
Bamdogo KazoaWanajamii foruma nawasalikuu sana poleni sana na mahangaikoo ya siku nzimaa
Niwasimuliee mkasaa kidogoo nimehamishwa kikazi mkoa mmoja humu katikati ya nchiii nimemuacha mama watoto huko mkoanii ,nimekuwa nikila mtaani kwa miezi sita hadi nikachokaa sana nimeamua kujipikiaaa toka mwezi umeanzaaa
Lkn sasa shida nikiwa nakulaaaa lazima idondokeee kila maraa sasa gheto linakuwa chafuuuu hadi keroo hadi namkumbuka mama watotooo
Nifanyajee ndugu zanguuuu
Ndio hapo. Ningekuwa karibu naye ningejitolea kumfunza namna ya ulaji mzuri aisee.Ipo mwenyewe papara za nini mkuu? Tulia ule kistaarabu
Hahahaaa. Nimecheka sana yaani.
Jifunze tu kula taratibu pasi kuwa na papara sababu chakula ni chako na mlaji ni wewe. Na pia uwe unachota saizi ya kile kinachoweza kuingia mdomoni kwako.
Hahah!! Jamaa tatizo lake la kizembe sana aiseeNdio hapo. Ningekuwa karibu naye ningejitolea kumfunza namna ya ulaji mzuri aisee.
Sababu hii si kawaida rafiki.