samirnasri
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,388
- 213
daah? Umesharogwa mwanangu! Pole sana!Naombeni msaada nina siku kama nne nikienda aja kubwa maharage yanatoka mazima
Huyatafuni hayo maharagwe vizuri unameza tu mpaka yatoke mazima mazima?Naombeni msaada nina siku kama nne nikienda aja kubwa maharage yanatoka mazima
Naombeni msaada nina siku kama nne nikienda aja kubwa maharage yanatoka mazima
Pole mkuu! Kumbuka mfumo wa umeng'enyaji ( digestion system) chakula unaanzia mdomoni. Unapotafuna chakula hakikisha unatafuna kikamilifu kilainike na kichanganyikane na mate kwani yana kemikali (enzymes) inayosaidia katika kumeng'nya chakula, pia kunywa maji mengi. Ukifanya hivyo natumaini tatizo lako litakwisha!