Nikila maharage na baadaye nikienda kujisaidia yanatoka maharage mazimamzima tatizo nini

samirnasri

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
1,388
Reaction score
213
Naombeni msaada nina siku kama nne nikienda haja kubwa maharage yanatoka mazima
 
Naombeni msaada nina siku kama nne nikienda aja kubwa maharage yanatoka mazima

Pole mkuu! Kumbuka mfumo wa umeng'enyaji ( digestion system) chakula unaanzia mdomoni. Unapotafuna chakula hakikisha unatafuna kikamilifu kilainike na kichanganyikane na mate kwani yana kemikali (enzymes) inayosaidia katika kumeng'nya chakula, pia kunywa maji mengi. Ukifanya hivyo natumaini tatizo lako litakwisha!
 
Kama anatafuna vizuri atakuwa na utumbo wa mbuzi.
 
Hayo maharage huyapiki?
 
Back
Top Bottom