Ganda Mweri
JF-Expert Member
- Mar 8, 2018
- 303
- 887
Hao wanaosema hautafuni sidhani kama ni sababu, mbona Mimi sitafuni ugali Ila sijawahi kunya matonge??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wakuu, si mnajua siku hizi ni mwendo wa masinki tu huku kitu unakiona kabla hujakisindikiza na maji..
Sasa unavoona maharage yakiwa mazima kabisa tatizo ni nini?
Mtu anakuny..a maharage mazimaa yanayofaa kupandwa shambaniAliyeelewa anieleweshe plz
Kama hujaelewa ungeopa hata kapicha ili uelewe vizuri.Aliyeelewa anieleweshe plz
Umeshauri sahihi mkuu, inaonesha huwa anameza bila kutafuna ndiyo maanaTafuna vizuri maana mechanical digestion yote inaishia mdomoni kwa hiyo usipotafuna chakuka kikishafika ndani hakuna kitakachoendelea kitatolewa kama kilivyo, chemical digestion itafanyika kwa kile chakula ambacho kimeshavunjwavunjwa tu.