Habari wakuu, si mnajua siku hizi ni mwendo wa masinki tu huku kitu unakiona kabla hujakisindikiza na maji..
Sasa unavoona maharage yakiwa mazima kabisa tatizo ni nini?
Tafuna vizuri maana mechanical digestion yote inaishia mdomoni kwa hiyo usipotafuna chakuka kikishafika ndani hakuna kitakachoendelea kitatolewa kama kilivyo, chemical digestion itafanyika kwa kile chakula ambacho kimeshavunjwavunjwa tu.