Nikilala na mwanamke mpya jogoo hapandi mtungi

1.inawezekana ni stress.
2.pia kuna uwezekano wa nguvu za giza zinafanya kazi.
3.Mpapase kichwani kama ana pini au sindano iondoe,mambo yatakuwa safi?
eeeeeh ivi umesema ni mkeo eeeeh?

Ehe, asante sana TALL, kumbe hiyo ndo dawa, acha kazi ianze sasa. Je! na sasa hiyo pin au sindano niza kawaida tuu au ndo mpaka zitoke kunako stahili?
 
mshukuru mkeo sana kwa kudhibiti mali zake vyema vinginevyo ungeshampa ngoma
 
Halafu wewe hujaacha tu, wakati huu unajiandaa na harusi?
 
Ehe, asante sana TALL, kumbe hiyo ndo dawa, acha kazi ianze sasa. Je! na sasa hiyo pin au sindano niza kawaida tuu au ndo mpaka zitoke kunako stahili?
Penny na wewe? mmmmmmmh,duh sijui nisemeje,swali gumu sana ila mchezo wa kwenda kwa waganga SI MZURI.
 
si useme tu kama tatizo ni lako usaidiwe kwani mpaka uzunguke hivyo?

Hata mimi kwa maelezo yake tu nahisi n tatizo la kwake mwenyewe. Anyway, kajitahidi kutafuta namna ya kuweka tatizo lake bayana ili kupata msaada.

Stress yake kwa uwoga wa kuiba ndilo jibu. Hana uhakika kama hatatenguliwa kiuno na wenye mali anaowaibia. Sasa kama mwili wake hauko tayari kwa nini anatafuta mitungi mipya asivifuate alivyovizoea? Hiyo ni ilani kwake kwamba aache kurukaruka, huenda hiyo inatokea kumsaidia asijepata ukimwi bure. Anapodandia bila sox tena kwa mara ya kwanza nina wasiwasi naye huenda anajijua yko status hatari ya HIV, haogopi kwa mtu abaye hajamzoea analazimisha kusokomeza wanguwangu tu?

Kijana acha hio, usipojijali wewe kna watu wanakutegemea including JF. Chagua mmoja uendelee kutesa naye. Dunia tambara bovu zaidi leo kulikoni jana. Sawa babanguee?
 
Nenda Tanga ni mafundi wa hako kamchezo watakaondoa dk sifuri
 
uzinzi haufai ndo maana ngoma aisimami kaa na mkeo
si ukiwa nae ngoma inasimama/kama inasimamama basi
anakutosha
 
huo mtego demu wako kakufanyia.......mambo ya mjini.......kuna mwenzako aliiingia vizuri lakini laligongwa na nyoka huko ndani sa sijui huyo nyoka aliingia kunako ya mwanamke............

Actually anatakiwa aende mkata pale kuna sehemu inaitwa 'kwa msisi' ni wataalam wa mambo hayo sana tehe tehe tehe. Manake linaloshindikana kuiva jikoni kwen kuni linaweza kuiva juani!:becky:
 
Lisubirie litapanda hasa kipindi cha kiangazi. Weka mtungi wa maji yakishapoa utaona linapanda kwenye mtungi lenyewe bila hata kupandishwa.
 
Tumia Viagra, mambo yatakua mswano.
 
Umewekewa 'speed governer' na mkeo/mpenzi ili utulie na kulinda maisha yako na yake enzi hizi za magonjwa kibao tulia na uridhike na ulichonacho,kuna msemo 'utamaliza bucha nyama ile ile'.
 
Jamani acha uzinzi. Pamoja na mahubiri ya ukimwi ya kila siku bado unaleta mambo ya uzinzi! Wewe! wewe! kama hujui kufa katizame kaburi
 
Kama ni wewe au rafiki yako me sijui..ila jamaa anaonekana ni mtoto si RIDHKI..kama akikutana na demu kwa mara ya kwanza anashindwa basi kawaida yake hiyo..au anataka kutuambia toka awe na demu wake ndo tatizo limeanza???/hakuli experience siku ya kwanza anakutana na demu wake???kama ni hivyo basi mshikaj karogwa na demu wake...mjin hapa
 
Shukuru Mungu wewe mtarimbo unalala doro, wenzako wengine huwa unaingia vizuri then unagoma kutoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…