Nikilewa zinashuka chini

gwego1

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2023
Posts
265
Reaction score
897
Wakuu kwema?
Kila nikilewa tu nataman wanawake! Najikuta mara nyingi najitubu UTI kali kila mara

Nadhan mnajua ukilewa mipira unasahau. Lengo la huu Uzi ni mwenye connection ya dawa ya kuacha pombe please naiomba.

Kabla hayajanikuta ya kunikuta.

Nawasilisha.
 
Daah nashukuru Mungu kwa kuniepusha na dhoruba ya kunywa hivo vitu...

Japo kwa sasa kuna huyu shangzi mpya daah anapenda kunywa hatareee mpaka naona kabisa atanifundisha...

Nimeanza mdogo mdogo mara shisha mara viroboti. Naomba MUNGU nisije kuwa mlevi mazima..

Mkuu kuacha pombe ni wewe hakuna dawa yoyote ila ni kuandaa akili yako kama seriously unaacha we acha

Kama kupenda mishangazi nayo ni ulevi basi mniache nife tuu 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Vishu Mtata nae ana ulevi wa kuji snap akiwa na watoto wa 2k... Hii laana kaka haitokuacha salama

BRAZA CHOGO we ulevi wako nini 😄😄😄😄
 
Kuacha pombe ni ngumu sana, unaweza kukaa hata wiki mbili siku kiu yake ikija ndo utajua hujui
Nawapa pole ambao kiukweli wameingia kwenye dimbwi la kunywa pombe kupitiliza, ni moja ya addictions mbaya mno. Jamaa is 40yrs, anapiga nyagi ndogo av. 4 kila iitwapo leo, miguu inatetemeka, usikivu umepungua kwa 30%, nyao zimekufa ganzi...haendi tena kazini daily..kifupi he's becoming stuuuped!
Kila kitu kwa kiasi wakuu!!
 
Kama umelewa kwanza maana yake zimepanda juu (kichwani) kabla ya kukimbilia chini

Pombe na Ngono ni ndugu wa damu kwa karne nyingi sana kwasababu Wanashare Baba mmoja (Shetani)

Ukilewa ukakosa manzi utaondoka hata na Mhudumu, halafu utaona wote ni pisi kali ...ukiwa fala utamtukana hadi mama watoto wako
 
Huyo yupo kwenye stage mbaya sana, point of no return
 
Sio Kwa mwanaume tu, Huwa Kila siku nawaambia, usije kuthubutu kuoa mwanamke ambaye huwaza kutoka nyumban, aende Bar /Pub fulan kunywa Pombe

Pombe huongeza nyege.

Na Kwa Bahati mbaya, aliyelewa awe Mwanaume au Mwanamke, hamna anyekumbuka Kondomu.
 
Siku pombe zikiiponza nyuma, utaacha mwenyewe.
 
Acha pombe,siku moja ukiwa unajuta kwa lililokupata utakuwa umeshaumia...
 
Ndo uwe unatumia ndomu mzee, kavu risk yake ni kubwa sana mkuu.
 
Siku ukipata gono ndio utafurahi zaidi
 
Kanuni tatu muhimu za pombe za kuzingatia sana
1. Wewe ni nani
2. Uko wapi
3. Unafanya nini
Ukiweza kuzifuata hivi pombe itakupa faida nyingi sana
 
Inabidi tunywe wotee plz, napenda sana watu waaolewa, kuacha huwezi acha haraka ni unaacha taratibu kwa kupunguza, nimejikuta kuwa walevi ni rafk zangu, karibu rafiki kwenye life yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…