Nikilima miti ya Christmas inaweza kunilipa?

Nikilima miti ya Christmas inaweza kunilipa?

Wakili wa shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2022
Posts
1,726
Reaction score
3,391
Kilimo cha miti ya Christmas hapa bongo kinaweza kulipa?

img-whitepinespecies1_orig.jpg
 
Kilimo cha miti ya Christmas hapa bongo kinaweza kulipa?

View attachment 2855247
Inaweza yes, kuna watu wanataka asilia hawapendi hii ya kichina ya plastic.Kama vipi otesha kwenye zile Pots kubwa na unaweza uza mtu akabeba na pot yake kabisa na akawa anapamba ikifika wakati wa Chrstmas. Possible unaweza tengeneza pesa.
 
Soko huwezi pata kaka nani nani atabeba mti hai aweke sebuleni???? Hiyo si miti ya mbao tu inaitwa Pine njombe Iringa kibao.
 
Napenda harufu ya majani yake.. kutumia kuremba Christmas nyumbani naona nzuri kuliko ya plastiki.. huku kijijini ninayo kama urembo nje

Usiwekeze pesa zako zote huko.. wengi wavivu kusafisha n.k.
 
Back
Top Bottom