Nikimaliza chuo nifanye nni?

Nikimaliza chuo nifanye nni?

kama unapata mkopo tumia hiko hiko kidogo ulicho nacho kufanya biashara mtaani kugumu sana😭😭😭​
 
Mimi ni mwanafunzi wa chuo, nipo mwaka wa mwisho. Hapa nilipo ninamawazo mengi kuhusu kipi ntafanya baada ya kumaliza chuo. Nasomea mambo ya Utaalamu wa Vifaa Tiba vya Hospitali. Wazazi wangu na ndugu zangu wana matumaini makubwa sana juu yangu hadi naogopa!!

Mwenye ushauri wwte naomba anisaidie jmn!!!. Kwasababu sahz hadi naogopa kurudi nyumban baada ya kumaliza chuo.
Jiunge na sportybet, sportpesa, parimatch na betpawa
 
Nadhani utaalamu wa vifaa vya tiba una fursa kiasi ukijaribu kuwatafuta wauzaji na watengezaji wa vifaa hivyo ukashikisha na kupata uzoefu sababu ukitoka chuo uzoefu bado ni zero.
 
Mimi ni mwanafunzi wa chuo, nipo mwaka wa mwisho. Hapa nilipo ninamawazo mengi kuhusu kipi ntafanya baada ya kumaliza chuo. Nasomea mambo ya Utaalamu wa Vifaa Tiba vya Hospitali. Wazazi wangu na ndugu zangu wana matumaini makubwa sana juu yangu hadi naogopa!!

Mwenye ushauri wwte naomba anisaidie jmn!!!. Kwasababu sahz hadi naogopa kurudi nyumban baada ya kumaliza chuo.
Mpaka ututafsirie maana ya msomi.
 
Back
Top Bottom