Nikimaliza kuoga uso wangu unapauka sana

Nikimaliza kuoga uso wangu unapauka sana

Edwin mkw

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
544
Reaction score
119
Huwa nikimaliza kuoga uso unapauka na kuwa kama msukule yaani ukiniona lazima ucheke.

Hata nikipaka mafuta nakuwa kama sijapaka bado nimepauka mpaka ipite muda ndio nakuwa kawaida, na unga kichwani nikinyoa "mba" nitumie dawa gani?

Thanks.
 
kama hapo juu,huwa nkimaliza kuoga uso unapauka na kuw km msukule yan ukniona lazma ucheke,hata nkpaka mafta nakuw km cjapaka bado nmepauka mpak ipite mda nd nakuw kawaida,na unga kichwan nkinyoa "mba" ntumie dawa gan thanks.
Nitafute nitakupatia sabuni nzuri sana kwa matatizo yako na utarudi kutoa mrejesho humuhumu. Whatsapp 0657317631
 
kama hapo juu,huwa nkimaliza kuoga uso unapauka na kuw km msukule yan ukniona lazma ucheke,hata nkpaka mafta nakuw km cjapaka bado nmepauka mpak ipite mda nd nakuw kawaida,na unga kichwan nkinyoa "mba" ntumie dawa gan thanks.
ukoma huo
 
Back
Top Bottom