Nikimeza kitu chochote naumwa kooni

Nikimeza kitu chochote naumwa kooni

Usianze kuogopa kabla ya kuhakiki tatizo lipi maana kama ni tonsillitis tumia antibiotics zifuatazo anza na pen v ikigoma piga erythromcyin ikgoma kupona na hyo pga ampiclox

Then bado sasa nenda ocean road wakakuchek kama ni cancer or not maana oesophagus cancer ni very complicated nimewahudumia wengi wenye hali hiyo nafaham.
Duuuuhh mpka nimsisimka aisee...
 
Ahsanteee
 
Ni ugonjwa ndiyo ambao unatokea pale kukiwa na inflammation ya tissues nyuma ya koo ambapo mara nyingi huleta shida kwa mgonjwa akitaka meza kitu lazima apate maumivu.
Kwan tonsils ni ugonjwa?
 
Back
Top Bottom