Nikimpa hataki kula

Nikimpa hataki kula

Benokolongokonongose

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
213
Reaction score
52
Habarini wakuhuu wenzangu. Mwanangu ana mwaka 1 na miezi saba ila hataki kula chakula yeye ni kunyonya tu. Minyoo hamuna. Nifanyeje?
 
umri wa kunyonya bado haujafika tamati..!

afya ya mtoto hujengwa kwa maziwa ya mama mostly!

nakushauri uendelee kumnyonyesha mpaka atakapofikisha miaka miwili na nusu!!!

hapo ujue akili yake ndio itakuwa njema!! (iam not a doctor either!.. nimeshauri tu kutokana na experience wadau!)
 
Nashukuru
 
Nashukuru

shukrani dada!! nikupe reference kidogo!!

mimi nimenyonya mpaka nilipofikia umri wa miaka mitatu na nusu!

nakwambia mpaka hio hatua nilikuwa na afya nzuri sana mpaka nikawa nasemwa na watu!

hebu mnyonyeshe mtoto bana akulie maziwa ya mama kwanza, ni muhimu sana kwa afya ya ubongo na akili kiujumla!
 
Mtoto ananyonyeshwa miaka miwili mama usiige white people
 
mimi si daktari, lakini through experience tunafahamu mtoto anatakiwa anyonye maziwa ya mama si chini ya miaka 1.5-2.
Ila kuanzia miezi 6 mtoto inabidi aanzishiwe vyakula vya ziada "supplimentary foods" hii ni kwa sababu katika umri huu mahitaji ya chakula kwa mwili wa mtoto yanakuwa yameongezeka sana na pia ubora na wingi wa maziwa ya mama unakuwa umepungua.
Ni kawaida kwa mara ya kwanza mtoto atakataa vyakula hivi vya ziada kutokana na kutokuvizoea ila inabidi utengeze chakula laini hasa "uji laini" na umuanzishie kidogo kidogo.
 
Back
Top Bottom