Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi mwenye 15 yrs ambae sio mwanafunzi inakuaje hapa,,anaejua anisaidie plsKitakuhusu tu maana ni mwanafunzi labda umpe wa chuo hata kama ana miaka 15 hufuatiliwi sana
Pole kwa kuingia mkenge. Nilichokitumia hapo ni figure of speech ambayo inaitwa hyperbole. Huu ni ukolezaji wa chumvi kwa nia ya kutilia mkazo point na si kudanganya. Hata hivyo bado wewe ni makini sana. Umeainisha sheria husika vizuri sana. hongera.
Kuna amendment ktk Education Act. Sheria No. 02/2016. Kifungu No. 22 cha Sheria hii kimeongeza kifungu kipya ambacho ni 60A katika Education Act na kinakataza mtu yeyote kumuoa au kumpa mimba mwanafunzi wa primary au secondary na haijalishi umri wake.Mkuu umeweka vifungu safi kusapoti hoja yako pengine ni mjuzi wa sheria,kuna jamaa yangu aliwahi fungwa kwa kosa la kumpa ujauzito mwanafunzi wa sekondary(18+),tulimchomoa kwa appeal kwa hoja mbili
1. Sheria yetu inamtambua mwanafunzi kwa level ya primary tu ambayo ni elimu ya msingi na LAZIMA. Zaidi ya hapo akiwa under 18 utashitakiwa kwa kubaka hata km ni mwanafunzi wa level ipi.
2. Mtu huyu alikuwa 18+ na alikuwa advanced level by then.
Note: Me si mtaalam wa sheria,hizo hoja aliandaa mshkaji wetu ni wakili tukapeleka mahakamani akaachiwa huru bila rushwa wala chochote.
Unafungwa wewe. Asiye mwanafunzi chini ya miaka 18 na mwanafunzi chini ya miaka 25 unakula mvua ya miaka 30. Juzi tu nimetoka kumfungulia mahtaka jamaa flani hapa mtaani kampachika mimba mdogo wangu under 18 na sio mwanafunzi.hivi mwenye 15 yrs ambae sio mwanafunzi inakuaje hapa,,anaejua anisaidie pls
Tupanue mjadala,hebu tusaidie mkuu kifungu cha kisheria kisemacho ukimpa mimba mwanafunzi wa sekondari,adhabu yake ni jela miaka mingapi!!KWANZA UMETENGUA AMRI YA 6
PILI: SIO MKEO KUSEMA UMPE MIMBA
TATU:UMEMKATISHA MASOMO YAKE
NNE: LUPANGO INAKUHUSU