Nikimtekenya mke wangu huwa hachekelei!

FrediusSnowden

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
269
Reaction score
225
Nakuja kwenu WAKUU na watabe wa tasnia hii..

Waswahili wanasema kua uyaone.. Mwenzio kila nikijaribu kwa nguvu zote kumtekenya mke wangu hacheki, msaada wakuu wa jamvi ili ni nusuru ndoa..

Msaada jamani!
 
Kwani una kiungo cha mboga mkuu?? au inawezekana yeye ana bwawa!!
 
Ndani ya jukwaa la siasa unaleta habari za kutekenyana kweli?
 
Sikuwahi kujua kama kutekenya kunaweza kunusuru ndoa.

Pia sikuwahi kujua kama mtu asipocheka akitekenywa, basi ndoa inakua mashakani.

The world is full of suprises!

[emoji39][emoji39][emoji39]
 
Nakuja kwenu WAKUU na watabe wa tasnia hii..

Waswahili wanasema kua uyaone.. Mwenzio kila nikijaribu kwa nguvu zote kumtekenya mke wangu hacheki, msaada wakuu wa jamvi ili ni nusuru ndoa..

Msaada jamani!
Huwa unaanzia wapi kutekenya? Na je, ushawai tekenya mwingne akatekenyeka kiasi cha kuona tofauti?
 
Nakuja kwenu WAKUU na watabe wa tasnia hii..

Waswahili wanasema kua uyaone.. Mwenzio kila nikijaribu kwa nguvu zote kumtekenya mke wangu hacheki, msaada wakuu wa jamvi ili ni nusuru ndoa..

Msaada jamani!
Inawezekana huwa ameshatekenywa na mafundi wa kutekenya sasa wewe anaona kama unamsumbua vile!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…