Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
Aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo anitekenye,,,Wakati Niko primary kulikua na tabia ya kutekenyana chini ya mbavu. Sipendi kabisa,,Kwani wewe unasikia je utamu wa asili..haluwa unagawaje hadi kuinjoi?
Tungesomaga shule moja..Ndo anitekenye,,,Wakati Niko primary kulikua na tabia ya kutekenyana chini ya mbavu. Sipendi kabisa,,
We ukitekenywa unajiskiaje?😁Tungesomaga shule moja..
Mimi huwa natekenyaWe ukitekenywa unajiskiaje?[emoji16]
Nakuja kwenu WAKUU na watabe wa tasnia hii..
Waswahili wanasema kua uyaone.. Mwenzio kila nikijaribu kwa nguvu zote kumtekenya mke wangu hacheki, msaada wakuu wa jamvi ili ni nusuru ndoa..
Msaada jamani!
Kwengineko anachekaCheki na bandama, ukute ilishajifia, au ilitoka kitambo sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muwekee picha huenda hajui
Nipe ujanja..