Nikimtongoza anakataa,ila sauti yangu anapenda kuickia.

Nikimtongoza anakataa,ila sauti yangu anapenda kuickia.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Eti wadau,hii ni sawa kweli,kuna katoto ka mwaka wa pili hapa chuon kwetu,nilikatongoza kakanikataa,wel me nkaamua kukafungia vioo,asa cha ajabu kila cku lazma kanipgie cmu zaidi ya mara 1 kwa kisingzio kwamba kanapenda kuckia sauti yangu,ila nkikakumbushia ombi langu still kanachomoa!nifanyaje wakuu wangu?{note:nataka kukalamba tu then niingie mitini,ctaki kuweka kambi kama majeshi ya USA huko iraq na afghanistan}
 
eti wadau,hii ni sawa kweli,kuna katoto ka mwaka wa pili hapa chuon kwetu,nilikatongoza kakanikataa,wel me nkaamua kukafungia vioo,asa cha ajabu kila cku lazma kanipgie cmu zaidi ya mara 1 kwa kisingzio kwamba kanapenda kuckia sauti yangu,ila nkikakumbushia ombi langu still kanachomoa!nifanyaje wakuu wangu?{note:nataka kukalamba tu then niingie mitini,ctaki kuweka kambi kama majeshi ya usa huko iraq na afghanistan}

kamalaya hako!
 
kafatilie kwa speed 180km/hr then omba mzigo kamua kisawasa mkuu. note: ako tayari kashaingia kwenye anga zako.
 
usikubali kakupozee mda mkuu, kama akataki kambie kasikutafute tena.
 
Nitumie namba yake nimwambia nia yako ya kumlamba kisha usepe, halafu utajua kwa nini anapenda kusikia sauti yako.
 
Ckia jembe,ukitaka nia yako itimie..mpotezee kwa muda akical potezea cm zake thn mwenyw atajile mbn huyo anaitaka huyo.
 
.......{note:nataka kukalamba tu then niingie mitini,ctaki kuweka kambi kama majeshi ya USA huko iraq na afghanistan}

Note: mwenye noti bandia kauziwa cheni bandia....... tahadhari kijana bado tunawahitaji katika ujenzi wa taifa hili na ukimwi bado ni threat kubwa tu.
 
note: Mwenye noti bandia kauziwa cheni bandia....... Tahadhari kijana bado tunawahitaji katika ujenzi wa taifa hili na ukimwi bado ni threat kubwa tu.

ndugu yangu usitaje hako kaugonjwa..wengine tuna presha ati...jana kuna likahaba nililichapa kavu..mawazo kila dakika!
 
Eti wadau,hii ni sawa kweli,kuna katoto ka mwaka wa pili hapa chuon kwetu,nilikatongoza kakanikataa,wel me nkaamua kukafungia vioo,asa cha ajabu kila cku lazma kanipgie cmu zaidi ya mara 1 kwa kisingzio kwamba kanapenda kuckia sauti yangu,ila nkikakumbushia ombi langu still kanachomoa!nifanyaje wakuu wangu?{note:nataka kukalamba tu then niingie mitini,ctaki kuweka kambi kama majeshi ya USA huko iraq na afghanistan}
Mwanaume kukimbia mwanamke mbona ni aibu.
 
you should be a shame of urself.muharibifu mkubwa wee.kama ndio mchezo wako,achana nae,kufunua funua huko,haipendezi kijana
 
you should be a shame of urself.muharibifu mkubwa wee.kama ndio mchezo wako,achana nae,kufunua funua huko,haipendezi kijana

kwan keishafunuliwa na wangapi bana?
 
Eti wadau,hii ni sawa kweli,kuna katoto ka mwaka wa pili hapa chuon kwetu,nilikatongoza kakanikataa,wel me nkaamua kukafungia vioo,asa cha ajabu kila cku lazma kanipgie cmu zaidi ya mara 1 kwa kisingzio kwamba kanapenda kuckia sauti yangu,ila nkikakumbushia ombi langu still kanachomoa!nifanyaje wakuu wangu?{note:nataka kukalamba tu then niingie mitini,ctaki kuweka kambi kama majeshi ya USA huko iraq na afghanistan}

Karibuni sana vijana kwenye uwanja huu wa mapenzi maana mnaonekana ndio kwanza mnajifunza na kuanza mapenzi,alafu unajisifia kabisa unataka kukalamba na kuondoka au sio?Kijana kuwa na wako na ambaye utakuja kumuoa la sivyo utakufa na ukimwi
 
Back
Top Bottom