Nikimuangalia Calinho sioni utofauti kati yake na Calvin Debruin uchezaji mpaka ukimbiaji

abdulhamis

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
1,436
Reaction score
2,296
Habari wanasoka na wapenzi wa Michezo

Kwanza kabisa Nimpongeze kaimu kocha wetu japo Bado Ana mapungufu kwenye kuchagua washanbuliaji sijui Nchimbi Aliwapa Nini mana Jana kafunga na Kaanzisha mashambuliz ya Yanga kufungwa.

Turudi kwa Calinho kiungo Bora kwa Sasa Tanzania.

Calinho namna anavyo cheza yeye na kelvin Debruin sion utofaut baina yao wawil katika uchezaj ila utofaut unakuja katika vilabu na league tu.

Kwanini nasema calinho ni kama Debruin ni kwa sababu wote Wana jicho la mwewe Yan uwezo wao wa kuona unaringana na pia katika kufanya Maamuzi.

Calinho ni mchezaji pekee Africa anaweza vilabu kama Barcelona Liverpool Real Madrid Buyern munich Arsenal na Akaanza kwenye kikos cha kwanza.

Nimesema ataanza kwenye vikosi vya kwanza kulingana na Team husika nilizo zitaja kulingana na Aina ya wachezaj walio Nao
Mfano pale Arsenal Nan Atanuweka nje calinho?
 
Ni mchezaji mzuri ila hiyo ya kucheza Barca, Liver, Madri hiyo umezidisha kwani hata Simba kupata namba lazima wachezaji zaidi ya wawili wa kikosi cha kwanza wawe na kadi au majeruhi. Changamoto kubwa ya Calinho ni majeruhi ya mara kwa mara na mpira wa nguvu hawezi. Huyo akikutana na pira gwaride la Prison, Ruvu au JKT hutajua kama yupo uwanjani.
 
Utopolo kama hawa wenzao wapo kwenye mfungo lenyewe ni li kobe linakula kisirisiri akishashiba ndo akili zinaleta huu uterereee

Calvin debruinπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nakwambia hiviii hata pale coastal union hapati nambaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mdogo wangu akili yako ni kama ya kunguni kwanza huyo Kevin debruin ndio nani na anacheza timu gani?
 
Huwa natafakari jinsi ilivyo rahisi na vigumu sana kuongoza club kama utopolo ikiwa na asilimia kubwa ya wanachama kama mleta uzi.

Haina tofauti na demu anayemsifia bwana aliyemhonga dola za Zimbabwe kuwa ana hela kama Jeff Bezoz
 
Na pia hana pumzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…