abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,296
Habari wanasoka na wapenzi wa Michezo
Kwanza kabisa Nimpongeze kaimu kocha wetu japo Bado Ana mapungufu kwenye kuchagua washanbuliaji sijui Nchimbi Aliwapa Nini mana Jana kafunga na Kaanzisha mashambuliz ya Yanga kufungwa.
Turudi kwa Calinho kiungo Bora kwa Sasa Tanzania.
Calinho namna anavyo cheza yeye na kelvin Debruin sion utofaut baina yao wawil katika uchezaj ila utofaut unakuja katika vilabu na league tu.
Kwanini nasema calinho ni kama Debruin ni kwa sababu wote Wana jicho la mwewe Yan uwezo wao wa kuona unaringana na pia katika kufanya Maamuzi.
Calinho ni mchezaji pekee Africa anaweza vilabu kama Barcelona Liverpool Real Madrid Buyern munich Arsenal na Akaanza kwenye kikos cha kwanza.
Nimesema ataanza kwenye vikosi vya kwanza kulingana na Team husika nilizo zitaja kulingana na Aina ya wachezaj walio Nao
Mfano pale Arsenal Nan Atanuweka nje calinho?