Hivi ni kweli kuna uhaba wa dawa?
Mbona mie sijaathirika na upungufu, kwani ugonjwa wangu mkubwa ni steless.. Bac nikiwa na stress natafuta clip za yule 'mama wa afya'. Bac nikiliona tu lile tabasamu lake, macho yake ya aibu na kasura kake kazuri.
Mie huyoo, steless zote kwisha.
Embu na wewe tuambie ulivyo athirika na uhaba wa dawa...