Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Naona unacheka Chief[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unacheka Chief[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahahahaha
Umefurahi mwenyewe nakutafutia wifi ujue .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ungeniambia nikupe mingooo
Hata jero ya maji jamani hamna huruma.....Na posho hupati.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha....
Just hahaahaaa......
Karibu mjumbe..siti yako umeiona lakini?
Nafurahi kuona mdau kajipanga kwa lolote litakalotokea(ambalo limetokea)Naona unacheka Chief
Maaa Mrs Jr hujambo?Hahahahahahaha
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Utataga mayai gani?
Mama ulifukia kwa kisigino nini![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwakwel mdau kajipanga kweliNafurahi kuona mdau kajipanga kwa lolote litakalotokea(ambalo limetokea)
Mama mtu anaoza huko[emoji23][emoji23][emoji23]Embu rudi usingizini uko
Hilo kweli kabisaNi bahati sana kupendwa shem,,watu wanakufa hawajapendwa hata kwa kutaniwa tu
Hongera kwa jibu zuri haahaa[emoji2] [emoji2] [emoji4] [emoji4]Nashukuru kwa kukufanya utetemeke kila uonapo comment yangu..ila nimewahiwa mie
Atakuja aliembora na wa kufanana nawe
AHSANTE SANA kwa kuwa Mwanamke wa mtetemesho kwako...[emoji12][emoji12]
Akimuona live lazima ataamkia muhimbili kama si ICU[emoji23]hahahahhahahheheheheheeeeeeeeeeeeiyaaaaaa duuuu yaani unaona tu comment tayari ushazimika sasa ukimuona live itakuwaje hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
jf kiboko
Alikuwa anasubili aone shemela atapokeaje akiona huo mtongozo, hivyo ili asionekane hana msimamo ni maji mara moja alivuta pumzi kidogoSasa ulingoja nini kutokujibu hivi toka mwanzo?? hahaha
Sijambo nilikumissMaaa Mrs Jr hujambo?
Yaani acha kila nikizunguka sikuoni,Sijambo nilikumiss
Nakupenda numbuu