Nikimuwaza Harmonize namkumbuka Kizzy Daniel

Hata me naona harmo atapata tabu Sana ukubwa aliyoupata akiwa wasafi hataupata Tena ndomaana sasa hiv anatumia nguvu kubwa kupata support ya raia kwa kugawa chakula lakini namwambia watu chakula chako watakula na support kubwa hatapata.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapana .sema tulio kulia njee ya Bongo. kidgo kiswahili kina tupiga chenga

Tuvumiliane
Sikutegemea ungejibu hv nilijiandaa kupokea tusi(km ilivyo ada ya jf) nimehisi huruma ulivyojibu kinyonge!
 
Hata me naona harmo atapata tabu Sana ukubwa aliyoupata akiwa wasafi hataupata Tena ndomaana sasa hiv anatumia nguvu kubwa kupata support ya raia kwa kugawa chakula lakini namwambia watu chakula chako watakula na support kubwa hatapata.
ni kama pilau la wakat wa kufuturu wanakula wote waliofunga na wasiofunga
 
G-worldwide iko chini ya Don jazzy mkuu? ?
WCB wanamchelewesha maana mpaka sasa hivi inatakiwa wawe wamemnyang'anya YouTube channel na jina lake kama walivyo mfanyiaga kiss daniel under don jazzy nakuwa kizzy Daniel ili akili zimkae dogo anayumba sana ebooooooooooh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…