Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Sijambo ema za weweaunt nakusalim
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijambo ema za weweaunt nakusalim
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata me naona harmo atapata tabu Sana ukubwa aliyoupata akiwa wasafi hataupata Tena ndomaana sasa hiv anatumia nguvu kubwa kupata support ya raia kwa kugawa chakula lakini namwambia watu chakula chako watakula na support kubwa hatapata.
ziko poa haswaaaSijambo ema za wewe
Sikutegemea ungejibu hv nilijiandaa kupokea tusi(km ilivyo ada ya jf) nimehisi huruma ulivyojibu kinyonge!Hapana .sema tulio kulia njee ya Bongo. kidgo kiswahili kina tupiga chenga
Tuvumiliane
ni kama pilau la wakat wa kufuturu wanakula wote waliofunga na wasiofungaHata me naona harmo atapata tabu Sana ukubwa aliyoupata akiwa wasafi hataupata Tena ndomaana sasa hiv anatumia nguvu kubwa kupata support ya raia kwa kugawa chakula lakini namwambia watu chakula chako watakula na support kubwa hatapata.
WCB wanamchelewesha maana mpaka sasa hivi inatakiwa wawe wamemnyang'anya YouTube channel na jina lake kama walivyo mfanyiaga kiss daniel under don jazzy nakuwa kizzy Daniel ili akili zimkae dogo anayumba sana ebooooooooooh