Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Ilikuwa kwenye video ikitembea. Ilikuwa kikao nadhani kilifanyika dodoma mwezi huu wa 12, 2022.
1. Walimu waajiliwe wale wenye ufaulu mkubwa tu.
2. Walimu walioko kazini wapewe mafunzo ya mara Kwa mara lakini pia watatazamwa competence Yao kazini.(aliyasema haya Mh mhagama kule manyara kama sijakosea)
3. Hawa wenzetu kada ya ualimu ilirejeshe heshima yake .
Ni hayo tu.
Niseme sababu ya ujumbe wangu huu.
1. Watoto wetu Hawa watahitaji walimu wenye uelewa mkubwa hapo Baadae. Tunapenda walimu wenye uwezo waandaliwe sasa.
2. Ukitaka Kizazi chenye uwezo wa kujiajiri na kuongeza uzalishaji hapo baadae itatakiwa kuwaandaa Sasa. Walimu wenye uwezo ni wanafunz wenye uwezo pia vise versa.
3. Tutahitaji taifa la wasomi na wazalishaji, na sio washinda makanisani na misikitini kuomba pekee