Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,168
- 1,549
Tumikia hela unazopewa...gangamala kibishi...
Sasa kama anakutoa kwanini hutaki akutumikishe? Unavyoumaind huo mshiko wake ndivyo nae anavyomaind kutumikiwa na wewe.
dah,dunia ina mengi...ukitaka kula sharti uliwe...si maneno yangu ni ya Mh Rais, ukitaka cha uvunguni sharti uiname, mtumikie kafiri upate mtaji wako...kama unataka mshiko timiza wajibu wako,fanya kila liwezekanalo uwe vizuri jumapili!
he mbona umenitisha! Niliwe tena! Mi kidume cha mbegu ebo! We Michelle vp!

unafikiri sigangamali wangu! Najitoa muhanga mpaka round 7,ila duh! Mwenzangu hachoki haraka!
he mbona umenitisha! Niliwe tena! Mi kidume cha mbegu ebo! We Michelle vp!
Nina mpenzi wangu ye ameajiria ofisi fulani na huwa kazi zinambana nafasi yake ni j'pili tu! Na huwa ananitumikisha kinoma akija. Weekend hii nimemwomba asije sijiskii vizuri! We ananiwakia ki ukweli! Nifanyeje? Halafu ndo ananitoa ki ukweli mshiko anao! Jamani nifanyeje?