sister
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 9,014
- 6,847
samahani nahisi nahitaji ufafanuzi, kidogo, kwani mwanaume akipewa hela na mwanamke afu akajisifia kuwa mwanamke wake anamtoa kuna tatizo? kama mwanaume hana kipato cha kutosha akiongezewa na mwanamke kuna shida?mwanamme mzima huna haya unajisifia unavyopewa pesa na wanamke halafu eti dume la mbegu... hebu tuondolee ujinga hapa, dume la mbegu tangu lini likahongwa na mwanamke. Tafuta jina lingine, hilo halikufai...