Nikimwambiaga nimechoka ni kesi! Nipeni ushauri!

Nikimwambiaga nimechoka ni kesi! Nipeni ushauri!

mwanamme mzima huna haya unajisifia unavyopewa pesa na wanamke halafu eti dume la mbegu... hebu tuondolee ujinga hapa, dume la mbegu tangu lini likahongwa na mwanamke. Tafuta jina lingine, hilo halikufai...
samahani nahisi nahitaji ufafanuzi, kidogo, kwani mwanaume akipewa hela na mwanamke afu akajisifia kuwa mwanamke wake anamtoa kuna tatizo? kama mwanaume hana kipato cha kutosha akiongezewa na mwanamke kuna shida?
 
ujue inashangaza hv me nilijua nataka nishauri mwanamke kumbe mtoto wa kiume? hii sijaipenda kabisa hasa ile eti anakata mkwanja pole sana

Mkwanja ananikatia kiupendo tu! Na wala simtegemei kwa kila kitu! Ni vijimambo tu!
 
samahani nahisi nahitaji ufafanuzi, kidogo, kwani mwanaume akipewa hela na mwanamke afu akajisifia kuwa mwanamke wake anamtoa kuna tatizo? kama mwanaume hana kipato cha kutosha akiongezewa na mwanamke kuna shida?

umeonaee! Afadhali hata ww umeongea ukweli.! Big up!
 
nina mpenzi wangu ye ameajiria ofisi fulani na huwa kazi zinambana nafasi yake ni j'pili tu! Na huwa ananitumikisha kinoma akija. Weekend hii nimemwomba asije sijiskii vizuri! We ananiwakia ki ukweli! Nifanyeje? Halafu ndo ananitoa ki ukweli mshiko anao! Jamani nifanyeje?


ninyi mnafanya uasherati ambao ni dhambi mbele za mungu, mtaangamia msipotubu

kwahiyo unataka cc tuhararishe uzinzi wake, usipotubu na kuacha uzinzi wako utaangamia

pesa haitakusaidia, wengi kwa kupenda pesa wameambukizwa ukimwi na sasa wanajuta

tubu dhambi hiyo, achana naye na mwombe mungu akupe mtu wa aina yako
 
Pesa isiwe kigezo cha kuuza utu wako

kumbuka waasherati, wazinzi, walevi, watukanaji, waabuduo sanamu, wagomvi, waoga, wachawi na wenye dhambi wote hawaturithi ufalme wa mungu
 
Mimi nilielekeza mawazo yangu moja kwa moja kuwa huyu ni binti anaelalamikia gwaride analopewa...kumbe sivyo ni sharobaro anaelalamika kulazimishwa mechi. hayo ndo matunda na faida za kutaka kulelewa...utalazimishwa mechi mpaka yatoke mapovu. mwenzako anakulea ili ufanye kazi hiyo tuu...halafu wewe dogo show moja kwa week ndio unalia lia...acha kula chips mayai.
Kidume cha mbegu kinatumikishwa kisa mshiko? Tunahitaji neno lingine la kuwatambulisha wanaume wa ukweli.

Nwy ukijua/penda kupokea kua tayari kutoa. Kama huwezi matakwa yake mweleze.
 
Nina mpenzi wangu ye ameajiria ofisi fulani na huwa kazi zinambana nafasi yake ni j'pili tu! Na huwa ananitumikisha kinoma akija. Weekend hii nimemwomba asije sijiskii vizuri! We ananiwakia ki ukweli! Nifanyeje? Halafu ndo ananitoa ki ukweli mshiko anao! Jamani nifanyeje?
Alikuja?
Mwekee pilipili hadi ashindwe kula....
 
hahahaaaaaa nicheke mie nirefushe maisha manaake mwenzenu anaomba ushauri mnavyomshushua haaa!!!!!!
 
Jamani! Kidume nakwenda mpaka 7 mda mwingine 8 mpaka miguu inatetemeka,mnaona bado simridhishi demu wangu!? Haya sijui mwatake!

je, mara zote hizo unakumbuka kuvaa condom? au kavu kavu?
Kwa msaada jifunze kupiga katyerero, atakoma ubishi!
 
Komaa tu mwana !
isitoshe duu mwenyewe anakuja kwa kila wikiendi, si unajua sometimes anakuwa na ngale sana??
Mi mwenyewe kwenye gemu napendaga njipigie adi basi !!
isitoshe si anakulea bana ???
 
Back
Top Bottom