The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 1,497
- 2,681
Nimekutana na Mabinti wengi ambao Wana akili na mtazamo wa aina hii kuwa wakiwa kwenye mahusiano na mtu na wakafanikiwa kuzaa basi wataolewa.
Mmoja akaniambia kuwa amepata mwanaume mzuri anayejali anataka ampe Zawadi ya "KUMZALIA MTOTO",
Hivi nyie Mabinti Huwa hamuoni, hamsikii na pia Huwa hamuulizi hata kwa watu walau??
Alafu kwanini mna akili mgando ya kukubali kumpa mwanaume mwili wako kabla ya Ndoa?
Unadhani ngono inatosha kumshawishi mwanaume akuoe?
Mnajitafutia u single mother kwa nguvu alafu baadae mnaanza kusema wanaume wote mbwa.
Wengine mna na mifano kuwa fulani alikuwa single mother akaolewa so hakuna shida....
ooh🤔 jaribu na wewe, hautaamini macho Yako yatakayokupata....Mimi Niko palee
Tatizo siku hizi hao mnaoita Role models wenu ni watu wa hovyo... maisha ya mtandaoni changanya na zako📌
Iko hivi...
Wanaume Huwa Wanajua kabisa kuwa huyu ni mke na huyu ni sagula-sagula, watakutumia na kukuacha Kisha utabaki na uchungu na maumivu makali yasiyoisha na mtoto wako.
Kama huyo mwanaume anakupenda na anataka umzalie afuate utaratibu, HAKUNA TENDO LA NDOA mpaka alipe mahari kwenu, mwende kanisani mfunge Ndoa alafu nenda ukazae hata Dozen ya Watoto (kama unadhani ni rahisi hivyo)
Mabinti ....
Zinaa kabla ya ndoa itakugharimu... Punguza masifa, tuliza komwe subiri mume wako mwamini mungu kwaajili ya ndoa nzuri kisha jitunze!!..
Pastor Lilian David Mbembela