profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
Kipi kisifanyikeUsifanye hivo.
kwa hiyo ni kama nimeagiza japan,una uhakika mkuu?Ni kama umenunua nje tu
kwa nini mkuuUsifanye hivo.
Utakuja lipa Kodi upyakwa nini mkuu
Fungua vifaa lete kama scrap. Visa kwenye bodi iliyokwisha sajilowa hukuMsaada wakuu,nataka ninunue gari used iliyosajiliwa zanzibar,ije bara,ya mwaka 2004,cc 1490,bei mil 5,,ushuru tra sh ngapi,na usafirishaji sh ngapi,mpaka naanza kutumia dar baada ya kusajili..
CorrectUsafiri siwezi jua gharama zake ila kwa Kodi utalipa kile ambacho yeye hakulipia...mfano ikiwa huko bara ushuru ni milion 8 na huku kisiwani ushuru ni milion mbili,hivyo ukiichukua kuipeleka bara itakubidi ulipie shilling milion 6 kufidia ule upungufu
Hio mil tano unaweza pata gari used from Japan Bora uchukue huko ..Kodi Ni mzozoMsaada wakuu,nataka ninunue gari used iliyosajiliwa zanzibar,ije bara,ya mwaka 2004,cc 1490,bei mil 5,,ushuru tra sh ngapi,na usafirishaji sh ngapi,mpaka naanza kutumia dar baada ya kusajili..
na kodi ya scrap ipoje mkuu?ila kutafuta gari iliyokufa kabisa ya 2004 pia ni mtihani mpya...Fungua vifaa lete kama scrap. Visa kwenye bodi iliyokwisha sajilowa huku
Kama inatembea kama Kigali cha kutumia gari kwa muda ni kama ni laki 3. Lkn bora ukaulize tra utuletee majibu hapa.na kodi ya scrap ipoje mkuu?ila kutafuta gari iliyokufa kabisa ya 2004 pia ni mtihani mpya...
Mkuu lete no zako nikupe watu watakaokusaidia kuivusha gariMsaada wakuu,nataka ninunue gari used iliyosajiliwa zanzibar,ije bara,ya mwaka 2004,cc 1490,bei mil 5,,ushuru tra sh ngapi,na usafirishaji sh ngapi,mpaka naanza kutumia dar baada ya kusajili..
Ni kama umenunua nje tu
Hii ni bana matumizi nzuri sana especialy kama una gari tayari huku...Fungua vifaa lete kama scrap. Visa kwenye bodi iliyokwisha sajilowa huku
sasa nikishavusha,usajili huku utakuwaje kupata plate numberMkuu lete no zako nikupe watu watakaokusaidia kuivusha gari
Watu wanafanya sana tu izo ishu
kama huna gari huku bara je,itakuwajeHii ni bana matumizi nzuri sana especialy kama una gari tayari huku...